Nataka kumfungulia kesi Hayati Dkt. Magufuli kwa madhila aliyowafanyia Watanzania

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,408
Magufuli amewatendea mabaya watanzania ktk mambo mengi Sana.
Tumewasikia viongozi mbalimbali wakitoka hadharani na kulalamika.
Mifano hii hapa:-

1. Zitto ...shamba lake la korosho lilitaka kuchomwa

2. Askofu Mwingira amenusurika mara 3 kuuawa

3. Padre Pascal Luhengo wa Mahenge Morogoro ambaye sasa anaishi uhamishoni. Ameporwa fedha zake.

4. Mzee Diallo alifilisiwa mali zake

5. Vicky Kamata anadai alitendewa mabaya sana. Someni waraka wake mitandaoni.

6. Mzee Wasira alisema nchi Sasa imepumua kufuatia kifo cha Magufuli.

7. Jaji Werema. Nchi imepitia magumu Sana ktk kipindi cha awamu ya tanBule

8. Bulembo.. n.k.

(Hawa wote watakuwa mashahidi ktk hii kesi)
Hawa ni watu wenye majukwaa ya kusemea. Kuna wananchi wengi ambao hawana pa kusemea. Nao Wana mengi.

Ndiyo maana napeleka shauri mahakamani ili JPM ashitakiwe, watu kwa mamia na maelfu waitwe na kutoa dukuduku zao, hukumu itolewe watu waweze kupona nafsi zao.

N. B Nikishinda kesi hii Magufuli ataondolewa hadhi ya urais na kufutwa ktk kumbukumbu zote za kitaifa na nyaraka zote. Na hatasomeka kama mtu aliyepata kuwa rais wa nchi hii.

Naomba kuwasilisha.
 
Magufuli atawatesa Sana kwa miongo kadhaa mpaka mje kumsahau.

Sisi tunamshukuru kwa kutuondolea watumishi hewa na kuweka mifumo imara kwenye payroll...SGR,BWAWA LA NYERERE,STAND MIKOANI,MIFUMO YA AFYA, AMANI KTK MIPAKA YA NCHI AMEIACHA SALAMA...pia kutujengea barabara maana yetu ndo kasimamia pesa tumetoa sisi.atabaki kwenye kumbukumbu mpaka wakati usio na kipimo...Mimi na wewe tutasahaulika ila sio magufuli na lazima siku moja kwenye noti awekwe ndipo utajua hujui.

Tena baada ya nyerere ndiye mtu anayeongozwa na kupendwa na wenye nchi..fanya tafiti DOA alilonalo katika UTAWALA wake NI lissu kupigwa risasi kwanini magufuli hakuchukua hatua za haraka yeye Kama rais wa nchi Kama hakuhusika alipaswa atoe kauli au afanye Jambo watu wawajibike...pamoja na hayo Bado wenye nchi wakikumbuka mazuri yake wanakosa say huenda ndiye au siye muhusika maana nchi yetu NI kubwa mno......all in all Bado NI rais ambaye hatakuja kutokea labda kidogo juma awesso namuombea Mungu amjalie boss wangu huyu siku moja awe rais wetu.
 
Hizo Bado NI tuhuma NI kama fununu ila kuhusu kuondoa wafanyakazi hewa sio fununu Wala tuhuma NI issue official na imefanyika na iliwashinda wengine
Kama ni fununu ndiyo tutaenda kuzithibitisha mahakamani. Tuliza mshono
 
Back
Top Bottom