Viongozi wa Wilaya ya Misungwi ni wa ovyo, takribani miezi miwili sasa hawajawaonesha machinga wa Usagara maeneo ya biashara

The lost

JF-Expert Member
Jul 3, 2017
2,695
8,209
Rais sema nao hao, wamevuruga biashara za watu zaidi ya mia mbili wa mji mdogo (kijiji kilichochangamka) wa Usagara na hawajawapa maeneo mbadala ya kufanyia biashara licha ya eneo kuwepo.

Takiribani miezi miwili Mkuu wa wilaya, Mkurugenzi na mwenyekiti wa halmashauri wanaleta danadana tu na hakuna wanachotekeleza.

Vijana wanalalamika na hawajui where to settle their issues.

Mama pita nao.
 
Hayo ya kuvuruga biashara za watu utawalaumu bure hao viongozi wa misungwi, hawakuamua wao yalikuwa ni maelekezo ya mama yenu.
 
Hayo ya kuvuruga biashara za watu utawalaumu bure hao viongozi wa misungwi, hawakuamua wao yalikuwa ni maelekezo ya mama yenu.
Mh Rais alishatoa maelekezo ya namna ya kuwapanga, sasa how viongozi hawa hawataki kutimiza wajibu wao? wafundishwe kazi.
 
Kama mna vyama vyenu niwatume viongozi wenu wakawaeleze maamlaka namna ya kuwasaidia. Ikiwezekana mkono usiwe mfupi.

Sema usagara inatakiwa kurudishwa mwanza mjini( nyamagana), itakua karibu kufika halmashauri kuliko misungwi
 
Hiyo usagara yenyewe haina maji ya mabomba japokuwa ni eneo zuri zaidi kimkakati wa uchumi. CCM HOVYO KABISA
 
Kama mna vyama vyenu niwatume viongozi wenu wakawaeleze maamlaka namna ya kuwasaidia. Ikiwezekana mkono usiwe mfupi.

Sema usagara inatakiwa kurudishwa mwanza mjini( nyamagana), itakua karibu kufika halmashauri kuliko misungwi
Mie siyo Machinga, japo nimekuwa very close na hawa ndugu zetu, nimekuwepo usagara kwa kipindi hiki na tatizo hili limekuwa kubwa.
 
Back
Top Bottom