Wazungu/Wachina walimkopesha vipi Magufuli bila kwenda kwao?

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Tusikubali kufungwa vinywa, tuelezwe kama Rais Samia anasafiri ndio maana tumeweza kupata mikopo je Magufuli alisafiri usiku kwenda kukopa na kurudi usiku pasipo wasaidizi wake kujua?

Kama sio kweli wazungu na wachina wakimkopeshaje mtu asiye kwenda kwao? Je mikataba ilisainiwaje? Usiku wa manane Ikulu?

Tusikubali kukaa kimya uwazi wa sasahiv hatukua nao kipindi hicho je ulifichawaje?

Karbu mwaka 2022.
 
Umewaza nyuma na mbele ya muda buda. Hamna atakayekujibu bila kukurupuka

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Tusikubali kufungwa vinywa, tuelezwe kama Rais Samia anasafiri ndio maana tumeweza kupata mikopo je Magufuli alisafiri usiku kwenda kukopa na kurudi usiku pasipo wasaidizi wake kujua?

Kama sio kweli wazungu na wachina wakimkopeshaje mtu asiye kwenda kwao? Je mikataba ilisainiwaje? Usiku wa manane Ikulu?

Tusikubali kukaa kimya uwazi wa sasahiv hatukua nao kipindi hicho je ulifichawaje?

Karbu mwaka 2022.
Mkuu unadhani kwa dunia ya sasa nchi ikitaka kukopa ni hadi Rais asafiri?. Kama ulifikilia hivyo jielimishe tena
 
Tusikubali kufungwa vinywa, tuelezwe kama Rais Samia anasafiri ndio maana tumeweza kupata mikopo je Magufuli alisafiri usiku kwenda kukopa na kurudi usiku pasipo wasaidizi wake kujua?

Kama sio kweli wazungu na wachina wakimkopeshaje mtu asiye kwenda kwao? Je mikataba ilisainiwaje? Usiku wa manane Ikulu?

Tusikubali kukaa kimya uwazi wa sasahiv hatukua nao kipindi hicho je ulifichawaje?

Karbu mwaka 2022.
Swali la kijinga
 
Taratibu za kukopa kwenye mabenk ya biashara kwa muda mfupi zifuatilie.... hazina longolongo. Unapewa mkopo na liriba lako unaprintiwa re-payment schedule ukiwa huko huko kwako.

Mikopo ya kidemokrasia ya miaka mingi na tujiriba kidogo na tumasharti vya haki za binadamu ndo uhitaji ufike mzungumze ujieleze eleze ndo upatiwe.

Kukurahisishia uelewe ni kama mfanyabiashara akienda kukopa bank halafu na mwingine akaenda kuomba mkopo usio na riba kwenye taasisi za kimataifa hizi nG'o.

Mfanyabiashara hatajieleza sana collateral na mzunguko wa fedha utaongea ila huyu wa ng'o ataandika proposal na manyaraka kibao na presentation juu na atatembelewa ndo apewe.
 
Swali lingine la msingi najiuliza hivi wazungu wangekubali vipi kumkopesha mtu ambaye kila kukicha anawasanifu na kuwasema vibaya...? Mfano MAGUFULI mara kadhaa nimenukuu akisema " msidhani tunapendwa Sana". Au akiwaita wazungu neno "MABEBERU". Je jiulize wew unaweza kumpa msaada au mkopo mtu ambaye anakusanifu na kukukashifu...? Ukipata jibu njoo changamua akili zako
 
Marehemu alishabebeshwa zigo la 9trilion kuwa alikopa. Kibindoni nako kina 1.5 ilipotea kimazingaombwe.
Marehemu ataupat ukuu wa malaika kama alivyosema mwenyewe akiwa amechoka sana. Tumwache apumzike ana ndugu na familia pia-inaumia sana inapoona jina lake linatajwa kwa mabaya tu japo kweli alizingua sana
 
Wewe ni kenge
 
Haiwezekani kumpa mkopo mtu wa namna hiyo hivyo hata mimi siamini kama walimpa mikopo kiasi hicho vinginevyo awe alikopa toka Uchina
 
Tusikubali kufungwa vinywa, tuelezwe kama Rais Samia anasafiri ndio maana tumeweza kupata mikopo je Magufuli alisafiri usiku kwenda kukopa na kurudi usiku pasipo wasaidizi wake kujua?

Kama sio kweli wazungu na wachina wakimkopeshaje mtu asiye kwenda kwao? Je mikataba ilisainiwaje? Usiku wa manane Ikulu?

Tusikubali kukaa kimya uwazi wa sasahiv hatukua nao kipindi hicho je ulifichawaje?

Karbu mwaka 2022.
Warudishie vyeti vyao huna hoja una vioja
 
Marehemu alishabebeshwa zigo la 9trilion kuwa alikopa. Kibindoni nako kina 1.5 ilipotea kimazingaombwe.
Marehemu ataupat ukuu wa malaika kama alivyosema mwenyewe akiwa amechoka sana. Tumwache apumzike ana ndugu na familia pia-inaumia sana inapoona jina lake linatajwa kwa mabaya tu japo kweli alizingua sana
😁😁😁😁
 
Taratibu za kukopa kwenye mabenk ya biashara kwa muda mfupi zifuatilie.... hazina longolongo. Unapewa mkopo na liriba lako unaprintiwa re-payment schedule ukiwa huko huko kwako.

Mikopo ya kidemokrasia ya miaka mingi na tujiriba kidogo na tumasharti vya haki za binadamu ndo uhitaji ufike mzungumze ujieleze eleze ndo upatiwe.

Kukurahisishia uelewe ni kama mfanyabiashara akienda kukopa bank halafu na mwingine akaenda kuomba mkopo usio na riba kwenye taasisi za kimataifa hizi nG'o.

Mfanyabiashara hatajieleza sana collateral na mzunguko wa fedha utaongea ila huyu wa ng'o ataandika proposal na manyaraka kibao na presentation juu na atatembelewa ndo apewe.
Huna akili na ufahamu wa mambo ya fedha na bank.

Chartered Banker.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom