Kwa yanayowatokea CHADEMA, Karma is real hapa duniani

Kinuju

JF-Expert Member
Mar 20, 2021
2,390
5,310
Wahenga wakishasema wamesema na ukipuuzia waliyoyaonya utakiona cha mtema kuni hapahapa duniani.

Baada ya Rais wa awamu ya tano Magufuli kufariki dunia Chadema wakiongozwa na Mbowe, Lissu na Kigogo walishangilia sana hadharani bila kuona aibu kabisa.

Walisema sasa watakuwa huru na watatajirika na kula raha sana hapa Tanzania.

Leo Magufuli hayupo lakini Mbowe yuko jela kwa siku 35 sasa.

Leo Magufuli hayupo lakini mbowe tayari ameshapoteza ndugu zake kadhaa kwa ugonjwa Corona.

Leo Magufuli hayupo lakini chadema imeendelea kupoteza mvuto kwa wananchi, kila wanapoitisha maandamano hamna anayetokea.

Leo Magufuli hayupo lakini sasa Chadema na Kigogo hawaelewani tena. Kwa mjibu wa kigogo chadema ya sasa ni intarahamwe( kikundi cha magaidi na wauaji wakubwa).
 
Umesahau kuwa hata maswahiba wa Mbowe hawajafika kolokoroni kumsabahi kama kipenzi chake Erythrocyte na mwamakula
hahahqaaa erythrocyte yeye ni binga wa kumsifia mbowe mara abubakar mara sijui nani lakini sasa hivi kimyaaaa hata askofu wao yule mhuni mwamakula ameshaishiwa pumzi tayari maandamano hakuna mtu mpumbavu tanzania anayeweza kwenda kuumizwa huko kwqaajili ya wahuni kama kina mbowe hao ni kundi la kihuni tu kigogo tayariu kishawageuka
 
Wahenga wakishasema wamesema na ukipuuzia waliyoyaonya utakiona cha mtema kuni hapahapa duniani.

Baada ya Rais wa awamu ya tano Magufuli kufariki dunia Chadema wakiongozwa na Mbowe, Lissu na Kigogo walishangilia sana hadharani bila kuona aibu kabisa...
Leo umekula?

Maana jana ulilalia kipande cha mhogo
 
Wahenga wakishasema wamesema na ukipuuzia waliyoyaonya utakiona cha mtema kuni hapahapa duniani.

Baada ya Rais wa awamu ya tano Magufuli kufariki dunia Chadema wakiongozwa na Mbowe, Lissu na Kigogo walishangilia sana hadharani bila kuona aibu kabisa.

Walisema sasa watakuwa huru na watatajirika na kula raha sana hapa Tanzania.

Leo Magufuli hayupo lakini Mbowe yuko jela kwa siku 35 sasa.

Leo Magufuli hayupo lakini mbowe tayari ameshapoteza ndugu zake kadhaa kwa ugonjwa Corona.

Leo Magufuli hayupo lakini chadema imeendelea kupoteza mvuto kwa wananchi, kila wanapoitisha maandamano hamna anayetokea.

Leo Magufuli hayupo lakini sasa Chadema na Kigogo hawaelewani tena. Kwa mjibu wa kigogo chadema ya sasa ni intarahamwe( kikundi cha magaidi na wauaji wakubwa).
Bora upewe akili kuliko kupewa burga kama wewe
 
Mbona Mbowe alipoteza Dada na Kaka kabla hta JPM hajafariki...... Mwanaye na yeye mwenyewe waliugua Covid hta JPM akiwa hai. Sasa karma inakujaje hapo?? Aliporwa mali zote na kufilisiwa zaidi ya 2 Billion worth of assets and market value! Yote haya kipindi JPM yupo!!

Huwezi mkamata mtu alafu unasema Karma..... Hyo Karma huja naturally mfano angepata mapigo bila mkono wa mtu, hapo ningekubali hoja yako.

Mbowe alishafungwa miezi 6 enzi za JPM so hakuna jipya hapa zaidi ya muendelezo wa udikteta.
 
We hadi kigogo anaimba haleluya sasa hivi huku akiwaita chadema intaharamwe!

Hakika karma inafanya kazi
Ni lini kigogo alikua CHADEMA? Tuwe wakweli toka JPM aondoke kigogo hana tena informants wa maana so alishakosa relevance angefuta tu account maana mission accomplished!!

Sasa kuendelea kuwa relevant akajiweka upinzani but to be honest hakuwa na data tena so he was a liability. Na hata ssa bila vita na CHADEMA alikua na ajenda gani mpya???

He's faded and thus should be ignored once and for all.
 
Back
Top Bottom