Kama kwa zaidi ya miaka ishirini katiba ya CHADEMA imeruhusu ufisadi na udikteta, kwa nini hamtaki kuibadili ili muwe mfano?

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Charity begins at home. Sasa kama katiba yenu ina madudu makubwa kiasi cha kiongozi wa chama akitafuna bil 8 kwa kujilipa madeni hakuna wa kumhoji, kwa nini msianze nayo ili muonyeshe mfano wa mabadiliko?

Haya pamoja na hilo mbona kuna kuwa na uongozi usiokuwa na ukomo wa mwenyekiti? Na mtu akitokea kutaka kumchallenge haiwezekani? Hebu mjihoji kabla ya kulalalama.
 
Charity begins at home. Sasa kama katiba yenu ina madudu makubwa kiasi cha kiongozi wa chama akitafuna bil 8 kwa kujilipa madeni hakuna wa kumhoji, kwa nini msianze nayo ili muonyeshe mfano wa mabadiliko...
Naona umetafuta mada itakayokuwa na wachangiaji wengi.
 
Charity begins at home. Sasa kama katiba yenu ina madudu makubwa kiasi cha kiongozi wa chama akitafuna bil 8 kwa kujilipa madeni hakuna wa kumhoji, kwa nini msianze nayo ili muonyeshe mfano wa mabadiliko?

Haya pamoja na hilo mbona kuna kuwa na uongozi usiokuwa na ukomo wa mwenyekiti? Na mtu akitokea kutaka kumchallenge haiwezekani? Hebu mjihoji kabla ya kulalalama.
Chadema ni genge la WAHUNI tu

USSR
 
Tulitegemea uweke vifungu vya katiba ili tuende pamoja na sio kuanza kubishana kama watoto wa darasa la pili.
 
Charity begins at home. Sasa kama katiba yenu ina madudu makubwa kiasi cha kiongozi wa chama akitafuna bil 8 kwa kujilipa madeni hakuna wa kumhoji, kwa nini msianze nayo ili muonyeshe mfano wa mabadiliko?

Haya pamoja na hilo mbona kuna kuwa na uongozi usiokuwa na ukomo wa mwenyekiti? Na mtu akitokea kutaka kumchallenge haiwezekani? Hebu mjihoji kabla ya kulalalama.
Hivi wewe ni kijana au mzee? Katiba ya nchi na ya chama ni ipi kipaumbele chako? Usijisahau Sana ujanani ukidhani uzeeni utalia kivulini! Nchi ina hitajio la katiba mpya ili wanao na wajukuu zako Kama upo fertile waje kunufaika nayo! Acha ubinafsi usio na tija Kwa nchi Yako!
 
Hawa pia Wana nia ya kwenda ikulu kama tusiwajadili sasa unategemea Nini baadae?
 
Hivi wewe ni kijana au mzee? Katiba ya nchi na ya chama ni ipi kipaumbele chako? Usijisahau Sana ujanani ukidhani uzeeni utalia kivulini! Nchi ina hitajio la katiba mpya ili wanao na wajukuu zako Kama upo fertile waje kunufaika nayo! Acha ubinafsi usio na tija Kwa nchi Yako!
Huyo hana mpango wa kuwa na watoto kwani huyo ni "si riziki".
Hafikirii chochote kuhusu kesho ndio maana haoni umuhimu wa kuwa na kesho bora inayojengwa na katiba bora.
 
Eti hawa ndiyo vijana wa CCM
Mtaniwia radhi kidogo. Hawa vijana wa CCM ni mzigo wa hovyo kabisa kwa taifa kwani wana endekeza upumbavu na ujinga.
Hivi wanashindwa kuelewa tofauti ya Chama cha siasa na Taifa (nchi)? Sasa kama watu hao wana akili za namna hiyo wanastahili hata kujadiliana nao jambo lolote kwa ujinga walio nao?
Chama cha siasa mfano CCM au Chadema ni kundi linaloendeshwa kwa hiari kwa misingi ya kiitikadi wanayokubaliana wanachama wake na katiba wanayojiwekea. Huitaki unajiondoa na kujiunga kwingine.
Taifa ndio haki yako ya msingi na ndio sehemu ya uhai wako uliyopangiwa na Mungu na unapaswa kuitetea na kuilinda ili iwe imekubalika na wengi.
Sasa ukiona mjinga wa UVCCM anataka kilinganisha uendeshaji wa Chama na Taifa ni wa kumpuuza maana ni mjinga huyo! Na sio ajabu ndio hao wanadanganywa na mwenyekiti wao kuwa eti nchi hii ina akiba ya fedha za kigeni Bilioni 6,230 $ na wao kama mazuzu wanamshangilia.
Oneni vijana wengine wenye akili wanamhoji mama yenu kuwa kama ni hivyo kwa nini tuwe na madeni? Si alipe tuu yote kwa mkupuo mmoja yaishe? Jee sisi kumbe ni matajiri kuliko hata China?

Wakiona katiba ya Chadema nzuri waje wajiunge, kama mbovu wakae huko huko Mbogamboga ujingani Street.
Katiba Mpya hiyo ni sasa na #HATUPOI
 
Madhara ya kutumia makalio kufikiri
 
Back
Top Bottom