Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ilikuwa ni familia yenye amani , upendo na furaha. Lakini watoto wote hawakuwa sawa, baba aliwajua watoto wake vyema . Kabla hajafariki baba wa familia aliwaasa wana familia yake ya kuwa mtoto...
0 Reactions
1 Replies
859 Views
Mambo yasiwe mengi. Massele ana uzoefu na uongozi wa bunge kupitia bunge la Afrika. Kijana aliyekuwa tegemeo la mikakati katika awamu ya Nne Stephen Maselle sasa anapiga jaramba tayari kuungana...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Joyce Ndalichako anapenda kuongea Kiingereza lakini Kiingereza hakimpendi. Hebu aliyemuelewa hapa atuambie alikuwa anataka kusema nini? Hii ni mara ya 2 ndani ya siku 60 kwa Waziri kuongea...
27 Reactions
369 Replies
33K Views
Enzi za mababu zetu , MACHIFU, waliumiza sana watu, waliwapiga MNADA kama vile mbuzi ama nguruwe, na wao kujimilikiaha utajiri mkubwa bila kujali wala kuwa na huruma hata kidogo. Utawala...
0 Reactions
0 Replies
916 Views
Kwa maneno mengine Nape Moses Nauye anataka aliyekuwa waziri wa fedha na ambaye kwa sasa ni makamu wa rais Dk Philip Mpango achunguzwe! Basi kama ni hivyo uchunguzi ufanyike haraka na afikishwe...
9 Reactions
61 Replies
5K Views
Naona Majina yao hajaanza na Dr. Je ni kwamba kuna utata wowote na hizo PhDs?au bado vyeti vyao havijawasilishwa au ni makosa ya kiuandishi tuu. wajuzi wa itifaki mtusaidie hili
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimemsikia Katibu Mkuu Kiongozi akisema Rais pia kateua Makatibu Wakuu lakini hadi sasa sijaona Mkeka wa hao . Mwenye nao auweke hapa.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Napenda kutanguliza shukrani zangu kwa mtukufu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kumteua Ridhwani Kikwete kuwa naibu wa Wazara ya Nyumba na Makazi. Mh.Rais umeonesha uzalendo wa hali ya...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Mabadiliko ya kile kinachodaiwa kuwa baraza la mawaziri ni kichekesho naona ni harakati za kuufufua mradi wa kifisadi wa bandari ya Bagamoyo.. Linatafutwa bunge tiifu litalopitisha na kuhalalisha...
5 Reactions
10 Replies
739 Views
Taarifa zilipo leo kupitia watu wambea ambao hawalipwi lakini hawakubali wapitwe wamedokeza kuwa upande wote wa kaskazi ya nchi na pwani na baadhi ya maeneo mengine hapa nchi leo ofisi za Chama...
0 Reactions
0 Replies
630 Views
hii wizara inaitaji MTU mzoefu na mfuatiliaji kwelikweli..kumpa ndugu Bashungwa ni kama kumtega kwa Bomu dizaini ya lile la Hiroshima na Nagasaki... MTU aliyekuwa wizara ya burudani umuweke...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Kama tunahitaji Maspika goigoi wa kuburuza wako wengi sana. Lakini kama tunahitaji Spika imara wa kuisimamia serikali kwa kumsaidia Rais kukamilisha kazi basi hawa walazimishwe kuchukuwa fomu kwa...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Haya maneno mnayatoa wapi? Kuwa baraza limepangwa na Kikwete na ameona amweke na mwanaye ndani? Acheni hizo... Rais samia naye ana weza chagua awatakao mwacheni jamani.
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa Katiba ya Nchi yetu , hili ni bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , iliyotokana na Muunganiko wa Tanganyika na Zanzibar , Nchi mbili halali zenye haki sawa , wabunge wa bunge...
13 Reactions
53 Replies
4K Views
Mwigulu Nchemba(Kushoto) akizungumza na Nape Nnauye katika ukumbi wa NEC kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM mjini Dodoma 10/15/2014(Maktaba) Mh. Nape Moses Nnauye...
107 Reactions
661 Replies
86K Views
Tuna nchi ambayo viongozi hawawajibiki kwa wananchi wala hata kwa kauli zao. Tafsiri halisi ya kuwa uongozi kwao ni fursa wala si dhamana. Kama fursa viongozi hawa wamejihakikishia marupurupu ya...
2 Reactions
5 Replies
757 Views
Aisee kama ni kipele kimempata mkunaji, Bachungwa najua kwa uweza wa Mwenyezi Mungu utaimudu, uko serious sana mzee hasa pale unapokabidhiwa jukumu na mkuu wako, ni mtu unayeongozeka mzee baba...
0 Reactions
1 Replies
588 Views
Ukweli ni kwamba, Ndugai amekua mbabe kwa muda mrefu sana kwa wabunge kule mjengoni lakini alikua mtiifu namba moja wa Rais John Magufuli (R.I.P). pamoja na mapungufu yote ya serikali ya JPM...
31 Reactions
54 Replies
4K Views
Wasalaam Ni wazi kila Mtanzania anajua kabisa hali iliyokuwa nayo shirika la nyumba la Taifa kabla ya ujio wa awamu ya tano ya Hayati John Magufuli... ni wazi kila mmoja wetu atakubaliana nami...
12 Reactions
51 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…