Mh. Job Ndugai kesha vunja ukimya.
Majibu ya mama yamesikika. Wapi kasimama Ndugai kama yeye na washirika wake kinafahamika.
Mama kasema kuna watuhumiwa wa uchaguzi wa 2025. Kwamba hao wote hawatakuwamo kwenye serikali yake mpya.
Kutokuwepo kwa hata mmoja wa kujiuzuru ni dalili mbaya kisiasa nchini.
Kama watu wametajwa hadi kwa majina yao hadharani, huko faraghani je hali itakuwa vipi?
"Mmekomaa ofisini kwamba nyie mliwekwa na Mungu? Au?"
Job Ndugai aseme neno la faraja sasa. Hayuko peke yake.
Kupitia kwake, Tanzania yenye mihimili iliyo na uhuru kamili karibu itazaliwa.
Mungu atupe nini?