Waziri Mkuu Mpya Ajaye...??

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,476
39,995
Siamini kama yatakuwa mabadiliko ya bandika bandua. Baada ya kifo cha Rais Magufuli Rais Samia HAKUTAKIWA kurithi Baraza la Mawaziri. Baadhi tuliweka msimamo huu sahihi wa Kikatiba wakati ule.

Sasa labda hatimaye ukweli umeonekana. Rais anaweza kumrudia Majaliwa kwa kumpendekeza kwa Bunge kuwa ni chaguo lake na yeye. Sasa hivi Majaliwa siyo chaguo lake, alimrithi kutoka JPM.
Kama siyo Majaliwa nani anaweza kusimamia agenda ya Samia?

Je ni zamu ya mwanamke?
Mmoja wa vijana wake wataka Urais?
 
Mimi napatwa sana na uoga maana tarehe kama hizi mwaka jana kuna mtu alisema hatamaliza na Kassim, na kweli ikawa
 
Siamini kama yatakuwa mabadiliko ya bandika bandua. Baada ya kifo cha Rais Magufuli Rais Samia HAKUTAKIWA kurithi Baraza la Mawaziri. Baadhi tuliweka msimamo huu sahihi wa Kikatiba wakati ule.

Sasa labda hatimaye ukweli umeonekana. Rais anaweza kumrudia Majaliwa kwa kumpendekeza kwa Bunge kuwa ni chaguo lake na yeye. Sasa hivi Majaliwa siyo chaguo lake, alimrithi kutoka JPM.
Kama siyo Majaliwa nani anaweza kusimamia agenda ya Samia?

Je ni zamu ya mwanamke?
Mmoja wa vijana wake wataka Urais?
Prof Kabudi!
 
Majaliwa apishe
 
Back
Top Bottom