Kama awamu ya tano ingeendelea basi hii nchi ilikua inakwenda shimoni

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,839
17,437
Ndugu zangu hebu tuache ushabiki wa kivyama kidogo, tuweke siasa pembeni. Kiukweli nchi ilikua inakwenda kuzama

Awamu ya tano ilikua inaenda kulipeleka hili taifa kwenye ukabila na ubaguzi na giza nene.

Hebu imagine mtu mmoja tu anateua watu wake wa kijijini tu.

Imagine Kila project inaenda kijijini Chato.

Imagine kila kizuri ni chato.

Keki yote ya taifa ilienda Chato huku mikoa mingine ikikodoa macho keki wakifaidi wachache tu.

Lile genge likawa na nguvu magenge ya kikabila yalianza kuinuka na slogan ya kuanzisha kikundi cha genge lile kikabila vikipamba moto.

Hii nchi miaka mitano ingekua na wasabaya wengi nchi ingegeuka Jehanam yaani nchi ingekua ni ya kinazi.

Kiliibuka walojiona wao ndo bora huku wakitaka wengine wapone,,,,,Genge la mwendazake walijiona miungu watu....ilikua kumkosoa mwendazake tu unatishiwa hadi na wanakijiji au watu wa jamii ya bwana yule wanakujia inbox na vitisho kibao nchi ilikua inaelekea pabaya sana.

Baada ya miaka 5 mingine kungekua na ubaguzi mbaya sana, udikteta wa kutisha na kiza kinene lakini mungu ni fundi aisee.

Nakumbuka jinsi hali ilivyokua inaenda nikikumbukaga zama za bwana yule still napataga mshtuko na kujikuta naongea mwenyewe kwamba mungu aepushie mbali.

Yote yanayoendelea sasa hivi hata haya matozo na kunyanyasa kina mbowe ni matunda aliyopanda mwendazake ameacha mbegu ambayo imeshamea mama anajaribu kukata lakini bado ndo maana kuna wakati simlaumu Samia nalaumu mbegu alopanda mwendazake, na itachukua hata miaka 10 kuondoa masalia na effect za huyo mtu,

Ndo maana kuna wakati huwa simlaumu Samia kabisa mfano hii ishu ya mbowe yote haya alituletea yule mwendazake

Kuna wakati hadi huwa nashtuka kiasi kwamba hadi watu walio karibu nami huniuliza kulikoni mbona nashtuka shtuka kila saa aisee mungu apishe mbali,Doooh siwezi kumsamehe yule jamaa hapana kwakweli, ile awamu big No!
 
images (2).jpeg
 
Nchi ilikuwa inaelekea pazuri sana. Hakuna sehemu ambayo Magufuli hakuigusa kwenye miradi ya maendeleo.

Alitugusa Watanzania positively katika kila nyanja ya maisha. Sasa hivi nchi ndiyo inapotea, kakikundi ka wachache tu ndiyo kanakula cake ya taifa, kwa Magufuli hadi wanyonge waliila.

Miaka mitano ijayo tutakuwa pabaya sana. Kodi zinaongezeka, maisha yanazidi kuwa magumu, huku gap la walionacho na wasionacho likiongezeka kwa kasi ya SGR.
 
Mpuuuzi kama wapuuuzi wengine.Mwendazake ilikuwa ni laana ya taifa.
Nazani ww ndo laana ya taifa na ya wazaz wako..shwani..mmezoea kupelekwa kiswahil kama mazezetaa..na mnabahat washenzi nyie angemaliza miaka 10 wapuuzi kama nyie msio na mbele wa nyuma mngehama hii nchi..nchi imejaa wavivu, wasiopenda kuwajibika..mnapenda kukaa tu kwenye kahawa na kicheza bao, kamari na kunywa alikasusi cjui..haya awam hii endeleeni na uvivu wenu.
 
Mbona awamu ya 5 ndo waliopo madarakani ... Ccm ni ile ile ...kuhangaika na marehemu ni udhaifu uliopituka ... JF siasa kama hatuitendei haki .. Michosho
 
Hakuna jambo lilikuwa linakera kama kukandamiza maslah stahiki haki za binadamu. Yeye angefanya yote ila sio kuumiza raia kwankuwa pora haki zao.

Kule watumishi wanalia
Watu account zao zinashikiliwa
Ukiongea umekuwa.enemy of the.state 😥😥😥😥😥😥

Hakika aliyenyoosha mkono wake kusaidia kuondoa dhulmat alifanya vyema
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom