ACT Wazalendo tumeni haraka jina la Mgombea Uspika kutoka chama chenu

dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
22,124
49,381
Wadau nafasi ya Spika ndio hivyo iko wazi. Na kwa kuwa kwa mujibu wa Katiba (iliyopo) mgombea nafasi ya uspika sharti apendekezwe na chama ni muafaka kwa vyama hususan vyenye wabunge kupendekeza majina ya wagombea kupitia vyama vyao.

Nawashauri ACT Wazalendo waitishe press chap watutaarifa jina la mgombea wao. Hii ni fursa adhimu kwa chama chao kuongoza mhimili huo.
 
Back
Top Bottom