Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 6,608
- 10,654
Sioni ni kwa namna gani Spika Job Ndugai atakiepuka kikombe hiki cha kuubwaga chini uspika
Waathirika nambari moja wa kitendo cha Apika kuondoka watakua ni wabunge wa mbeleko Ndugai aliolazimisha kama wabunge halali wa CHADEMA.
Hakuna namna wajiandae tu kisaikolojia kuzama na Job Ndugai, kwasababu CCM lazima watachokonoa madudu yake ikiwemo hili ili kuhalalisha zaidi uchafu wa Job.