Mara baada ya kauli ya Spika aliyejiuzulu ,mzee Mbatia alijitokeza na akaanza kushabikia na kumpongeza Spika na kutaka watanzania wajadili tamko la spika.
Namshauri mzee Mbatia aache tabia ya kudandia hoja bila kutafakari, apunguze mihemuko.
Siasa haziitaji jazba na mihemuko, aonyeshe ukomavu sio kukurupuka. Ajaribu kujifunza kutoka kwa wakongwe wa siasa,
asipende kudandia gari kwa mbele.