Wakati CCM ikisafisha uchafu bandani kwake, Chadema malizeni mchakato wa kikatiba kuwafukuza covid 19

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
56,440
92,801
Wala sihitaji kuandika gazeti hapa, raha ya mchuzi wa mbwa ni ukiwa wa moto.

Ccm inasafisha takataka bandani mwake na tarehe 2 February tutapata spika mpya, hivyo nashsuri chombo cha juu cha maamuzi cha chadema kimalize mchakato wa kuwafuta uanachama hawa covid 19 na tarehe 2 February Chama kipeleke barua kwa spika mpya ya kumtaarifu hawa covid 19 wamefutwa uanachama rasmi na chombo cha juu kimaamuzi kwa mujibu wa katiba ya chama chenu.

Mmepewa penalty hii na ccm itumieni sasa, na uzuri hata hao ccm wenyewe hawawataki hawa covid 19 na wakati wote huu hawajafurahishwa na matendo ya Ndugai na marehemu wake kuwakumbatia hawa Traitors.

Kazi ni kwenu sasa limalizeni hili, angalieni speed ya ccm wanapoamuwa kumshughurikia mtu ni 24 hours wamekumaliza.
 
Ushauri mzuri, ila kwa kumbukumbu tu, mbona kama walishafanya mchakato wa kuwavua uanachama ola wale was huni wa neck na job Waka waapisha na kuwatambua wabunge bandia wa chadema, au wabunge wa job.
 
CCM uchafu hauwezi kuisha, Wala tusiongopeane
Nalijuwa hilo, ila nadhani umejionea speed ya kumshughulikia Ndugai ilivyofanyika.

Badala ya kupoteza muda na mambo yao Chadema ipenye hapohapo kupitia upepo huu huu, spika mpya ataheshimu barua rasmi ya maamuzi rasmi ya kikao cha juu cha maamuzi.

Siasa ndivyo ilivyo, hata Gwajima baada ya kuusoma upepo amekwenda na upepo ulivyovuma na sasa ana uhakika wa ubunge wake.

Chadema itumie fursa hii wakati bado kuna vuguvugu hili la kuondowa mamluki ccm na Chadema ijilinganie hapohapo.
 
Wala sihitaji kuandika gazeti hapa, raha ya mchuzi wa mbwa ni ukiwa wa moto.

Ccm inasafisha takataka bandani mwake na tarehe 2 February tutapata spika mpya, hivyo nashsuri chombo cha juu cha maamuzi cha chadema kimalize mchakato wa kuwafuta uanachama hawa covid 19 na tarehe 2 February Chama kipeleke barua kwa spika mpya ya kumtaarifu hawa covid 19 wamefutwa uanachama rasmi na chombo cha juu kimaamuzi kwa mujibu wa katiba ya chama chenu.

Mmepewa penalty hii na ccm itumieni sasa, na uzuri hata hao ccm wenyewe hawawataki hawa covid 19 na wakati wote huu hawajafurahishwa na matendo ya Ndugai na marehemu wake kuwakumbatia hawa Traitors.

Kazi ni kwenu sasa limalizeni hili, angalieni speed ya ccm wanapoamuwa kumshughurikia mtu ni 24 hours wamekumaliza.
Zito atawachukua wakachangamshe ACT
 
Then mnapeleka majina mengine au mnasusa tena mpaka katiba mpya na tume huru ?
 
Ninachokumbuka mimi bado kuna kikao cha baraza kuu hakijakaa.

Kama sikosei kikatiba hiki kikao ndio Causa Finita.

Hawana ela ya kukaa kila siku wanacancel Tu, hahahahaha ela zote wanaendesha kesi
 
Wala sihitaji kuandika gazeti hapa, raha ya mchuzi wa mbwa ni ukiwa wa moto.

Ccm inasafisha takataka bandani mwake na tarehe 2 February tutapata spika mpya, hivyo nashsuri chombo cha juu cha maamuzi cha chadema kimalize mchakato wa kuwafuta uanachama hawa covid 19 na tarehe 2 February Chama kipeleke barua kwa spika mpya ya kumtaarifu hawa covid 19 wamefutwa uanachama rasmi na chombo cha juu kimaamuzi kwa mujibu wa katiba ya chama chenu.

Mmepewa penalty hii na ccm itumieni sasa, na uzuri hata hao ccm wenyewe hawawataki hawa covid 19 na wakati wote huu hawajafurahishwa na matendo ya Ndugai na marehemu wake kuwakumbatia hawa Traitors.

Kazi ni kwenu sasa limalizeni hili, angalieni speed ya ccm wanapoamuwa kumshughurikia mtu ni 24 hours wamekumaliza.
toka lini kada wa ccm ukawa mshauri wa chadema?

Baraza kuu la chadema limekaa lini na wapi au hujui taratibu za rufaa ndani ya chadema.
 
Wala sihitaji kuandika gazeti hapa, raha ya mchuzi wa mbwa ni ukiwa wa moto.

Ccm inasafisha takataka bandani mwake na tarehe 2 February tutapata spika mpya, hivyo nashsuri chombo cha juu cha maamuzi cha chadema kimalize mchakato wa kuwafuta uanachama hawa covid 19 na tarehe 2 February Chama kipeleke barua kwa spika mpya ya kumtaarifu hawa covid 19 wamefutwa uanachama rasmi na chombo cha juu kimaamuzi kwa mujibu wa katiba ya chama chenu.

Mmepewa penalty hii na ccm itumieni sasa, na uzuri hata hao ccm wenyewe hawawataki hawa covid 19 na wakati wote huu hawajafurahishwa na matendo ya Ndugai na marehemu wake kuwakumbatia hawa Traitors.

Kazi ni kwenu sasa limalizeni hili, angalieni speed ya ccm wanapoamuwa kumshughurikia mtu ni 24 hours wamekumaliza.
Vipi kuhusu Baraza Kuu?
 
Nalijuwa hilo, ila nadhani umejionea speed ya kumshughulikia Ndugai ilivyofanyika.

Badala ya kupoteza muda na mambo yao Chadema ipenye hapohapo kupitia upepo huu huu, spika mpya ataheshimu barua rasmi ya maamuzi rasmi ya kikao cha juu cha maamuzi.

Siasa ndivyo ilivyo, hata Gwajima baada ya kuusoma upepo amekwenda na upepo ulivyovuma na sasa ana uhakika wa ubunge wake.

Chadema itumie fursa hii wakati bado kuna vuguvugu hili la kuondowa mamluki ccm na Chadema ijilinganie hapohapo.
Mkuu umetisha .
 
Back
Top Bottom