Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,086
- 6,568
Kupigiwa mizinga 21? , Kuwekewa red carpet? Kuvaa tai nyekundu? Kuwa na walinzi kama njugu?
Kuna nini kwenye haya mamlaka ya kutawala na kuwa mkuu wa nchi?
Je sio kuwatumikia na kuwaletea maendeleo wananchi? Kama ni hivyo kwa nini watawala wanachukia kusikia kuna mtu atawania au kutia nia?