Kamati Kuu ya CCM(CC) ikutane kujadili swala la Ndugai

Midimay

JF-Expert Member
Apr 12, 2015
2,907
4,771
Habari za asubuhi kwa mtakaosoma.

Kama kichwa kilivyo hapo juu, nashauri Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi kukutana haraka sana iwezekanavyo kujadili hili swala la Ndugai.
Vyama vyote vikubwa vyenye itikadi kama ya CCM hufanya maamuzi juu ya wanachama wake wa kawaida , let alone mwanachama kiongozi ndani ya dola na mjumbe wa kamati kuu kama alivyo Job Yustino Ndugai.
Na kwa jinsi hili sakata linavyoendelea inaonekana kabisa Katibu Mkuu wa CCM ameipoka Kamati Kuu madaraka yake.
Katibu Mkuu ni mjumbe tu wa kamati kuu.
Inakuwaje mjumbe mmoja apokee barua ya kujiuzulu kwa kiongozi wa mhimili, halafu akaifanyia maamuzi ya kuridhia kujiuzulu kwa kiongozi huyo bila kujadiliwa;
mosi; Makosa yake ya kuropoka hadharani
Pili; Maamuzi yake ya kujiuzulu?
Uamuzi huu utajenga mfumo wa uholela ndani ya chama na ndani ya dola.
Uuamuzi wa kuvunja katiba kwa waandika barua ya kujiuzulu, wapokea barua ya kujiuzulu na waridhia, lkn usiendekezwe.
Nashauri kabla ya mchakato wa kupatikana kwa speaker mpya haujaaanza, basi kamati kuu ya chama ikutane kujadili hili swala.
Hii pia itahalalisha mchakato mzima na uamuzi wa kujiuzulu wa Job Ndugai.
Ni lini chama cha mapinduzi imeanza tabia ya kufanya maamuzi bila kusikiliza watu?
Ndugai sio mteule wa katibu mkuu.
Sio Mteule wa Mwenyekiti wa CCM
Ndugai amepata uspika kwa kuchaguliwa na wabunge kupitia udhamini wa chama chake.
TARATIBU zifuatwe ili kuepusha nchi kuwa BANANA REPUBLIC.
 
Sawa la Job lishakua zilipendwa, jana tumeambiwa vijana tuchakarike kazi zipo nyingi..
 
Unawafundisha kufanya majukumu yao🏃
 
Naona kama umeandika kwa haraka. Kama kuna taasisi ya kukutana ni bunge au katibu wa bunge atoe kauli na sio CCM. Kama ulivyosema kwamba Ndugai alichaguliwa na bunge hivyo ni bunge litoe kauli au angalau katibu wa bunge.
 
271604675_4525835960860605_6536751393170031791_n.jpg
 
Habari za asubuhi kwa mtakaosoma.

Kama kichwa kilivyo hapo juu, nashauri Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi kukutana haraka sana iwezekanavyo kujadili hili swala la Ndugai.
Vyama vyote vikubwa vyenye itikadi kama ya CCM hufanya maamuzi juu ya wanachama wake wa kawaida , let alone mwanachama kiongozi ndani ya dola na mjumbe wa kamati kuu kama alivyo Job Yustino Ndugai.
Na kwa jinsi hili sakata linavyoendelea inaonekana kabisa Katibu Mkuu wa CCM ameipoka Kamati Kuu madaraka yake.
Katibu Mkuu ni mjumbe tu wa kamati kuu.
Inakuwaje mjumbe mmoja apokee barua ya kujiuzulu kwa kiongozi wa mhimili, halafu akaifanyia maamuzi ya kuridhia kujiuzulu kwa kiongozi huyo bila kujadiliwa;
mosi; Makosa yake ya kuropoka hadharani
Pili; Maamuzi yake ya kujiuzulu?
Uamuzi huu utajenga mfumo wa uholela ndani ya chama na ndani ya dola.
Uuamuzi wa kuvunja katiba kwa waandika barua ya kujiuzulu, wapokea barua ya kujiuzulu na waridhia, lkn usiendekezwe.
Nashauri kabla ya mchakato wa kupatikana kwa speaker mpya haujaaanza, basi kamati kuu ya chama ikutane kujadili hili swala.
Hii pia itahalalisha mchakato mzima na uamuzi wa kujiuzulu wa Job Ndugai.
Ni lini chama cha mapinduzi imeanza tabia ya kufanya maamuzi bila kusikiliza watu?
Ndugai sio mteule wa katibu mkuu.
Sio Mteule wa Mwenyekiti wa CCM
Ndugai amepata uspika kwa kuchaguliwa na wabunge kupitia udhamini wa chama chake.
TARATIBU zifuatwe ili kuepusha nchi kuwa BANANA REPUBLIC.
Spika anajiuzulu kwa katibu wa bunge siyo katibu wa CCM
 
Kamati kuu ingekaa Kama Ndugai asi geomba msamaha na asingejiuzulu. Kamati kuu itajadili nini wakati mtuu kakiri na kuomba msamaha na pia baadae kujiuzulu.
 
Back
Top Bottom