Rais Samia: Moyo wangu si wa Gilasi, ni wa Nyama iliyoumbwa na Mungu

5525

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
5,412
6,273
Mhe Rais alitamka maneno haya hivi Karibuni Nimeona niulete hapa huu usemi ili Wanafasihi na Wataalamu wa Lugha ya Kiswahili Watumbie Mama hasa alikusudia nini kwa maneno haya "MOYO WANGU SI WA GILASI NI WA NYAMA ILIYOUMBWA NA MUNGU" lakini alitoa usemi huu kukiwa na vuguvugu la Spika aliyekuwa kuhusu kauli aliyoitoa ya mama kwenda kukoa 1.3tril.

Kwenu wadau wengine tunakiswahili kile cha burundi kenya na malawi hatuwezi ona ndani hapa.

Natangulisha shukurani.
 
Gilasi si mara inavynjika sasa mama walimchukulia poa kumbe ni mwiba wa mchongoma
 
Na sisi wananchi miyoyo yetu siyo ya chuma.Tunaumia sana kutapeliwa na kulaghaiwa:

Kwenye kampeni👇

Baada ya kuingia Ikulu👇🐒🐒🐒
 
Huenda Mama ndie Amiri jeshi mwenye jicho la hatare

Nina clip ya kwny Taarab weekend hii akiwa Znz…ni hatare sana…First Gent namuonea donge
 
Kama anaumizwa na yanayosemwa dhidi yake, basi nae asiwaumize wengine, Mbowe in particular.
 
Muacheni mama afanye kazi, mie nadhani ni perfect fit kwa sasa. Kuna usemi unasema afterall yeye ndie raisi kwa sasa na hakuna uchaguzi hadi 2025! Nashauri watu wakafocus na kuleta mabadiliko ya kisheria si lazima katiba mpya, mabadiliko ya sheria yanaweza fanyika bila ya mchakato mzima kurudiwa.

  1. Kule visiwani watu wanaishi kama wako Palestina, kila km mbili - tatu checkpoints!
  2. Kumiliki blog tuu lazima upate leseni
  3. n.k
 
Huenda Mama ndie Amiri jeshi mwenye jicho la hatare

Nina clip ya kwny Taarab weekend hii akiwa Znz…ni hatare sana…First Gent namuonea donge
umeanza kum-mind mama yak mwenyewe
 
Huyu Bibi analalamika sana kiasi anakufanya hata ambaye haupo kwenye siasa uanze kujisikia vibaya.
 
Mhe Rais alitamka maneno haya hivi Karibuni Nimeona niulete hapa huu usemi ili Wanafasihi na Wataalamu wa Lugha ya Kiswahili Watumbie Mama hasa alikusudia nini kwa maneno haya "MOYO WANGU SI WA GILASI NI WA NYAMA ILIYOUMBWA NA MUNGU" lakini alitoa usemi huu kukiwa na vuguvugu la Spika aliyekuwa kuhusu kauli aliyoitoa ya mama kwenda kukoa 1.3tril.

Kwenu wadau wengine tunakiswahili kile cha burundi kenya na malawi hatuwezi ona ndani hapa.

Natangulisha shukurani.
wa kishetani ulioumbwa na shetani, hakuna Mungu hapo!
 
Back
Top Bottom