Tusidanganyane: CCM ina Wenyewe na CHADEMA ina wenyewe pia, angalia Job Ndugai na Mchungaji Msigwa Walivyofokewa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,832
141,749
CCM imeshatangaza mchakato wa kumpata Spika mpya wa bunge la JMT kupitia chama hicho baada ya kumfurusha " Wakuja" Job Ndugai.

Mchungaji Msigwa akajaribu kuwafundisha CCM ni nani atayefaa kuwa Spika mpya ili kuleta mshikamano bungeni lakini akafokewa na kuagizwa " KUFUTA" mara moja huo ushauri na Godbless Lema hatimaye Msigwa aliufyata akafuta.

Lakini ngome ya Mkwawa iliibuka na kumtaka mchungaji Msigwa arejeshe bandiko lake mtandaoni kwani ule ni ushauri wake binafsi.

Unaweza kujiuliza kama Chadema haina " Wenyewe" huyu Godbless Lema anapata wapi jeuri ya kumuamrisha mwenyekiti wa Chadema kanda ya Nyasa?

Mwamba tuvushe salama!
 
Kuna tofauti kubwa kati ya alichoandika Msigwa na alichoongea Ndugai, ukiangalia kwa nje wote walionekana kutumia uhuru wao wa kutoa maoni.

Lakini kwa ndani zaidi, alichokiandika Msigwa kwa nafasi yake kama mpinzani hatakiwi kuwashauri CCM nani wa kumchagua.

Kwa sababu huyo atakayechaguliwa kuwa spika akianza kuwabeba CCM wenzake bungeni kwa maslahi yao, Msigwa kama mpinzani atakosa namna ya "kumponda" kwa kuwa atakuwa "alishajitega" kwa kumuunga mkono.

Lema aliona mbele zaidi kwa alichofanya.

CCM ni madikteta walimnyima Ndugai haki yake ya kuhoji jambo la msingi lenye maslahi kwa taifa, kukopa kwa taifa masikini kama letu lenye rasilimali zakutosha sio sifa, ni kuzidi kujidumaza akili.
 
Kuna tofauti kubwa kati ya alichoandika Msigwa na alichoongea Ndugai, ukiangalia kwa nje wote walionekana kutumia uhuru wao wa kutoa maoni.

Lakini kwa ndani, alichokiandika Msigwa kwa nafasi yake kama mpinzani hatakiwi kuwashauri CCM nani wa kumchagua, sababu huyo atakayechaguliwa kuwa spika akianza kuwabeba CCM wenzake bungeni Msigwa kama mpinzani atakosa namna ya kumponda.

Lema aliona mbele zaidi kwa alichofanya.
Mchungaji Msigwa alisema bayana yale ni mawazo yake binafsi siyo ya Chadema!
 
Kuna tofauti kubwa kati ya alichoandika Msigwa na alichoongea Ndugai, ukiangalia kwa nje wote walionekana kutumia uhuru wao wa kutoa maoni.

Lakini kwa ndani zaidi, alichokiandika Msigwa kwa nafasi yake kama mpinzani hatakiwi kuwashauri CCM nani wa kumchagua, sababu huyo atakayechaguliwa kuwa spika akianza kuwabeba CCM wenzake bungeni Msigwa kama mpinzani atakosa namna ya kumponda sababu alikuwa chaguo lake.

Lema aliona mbele zaidi kwa alichofanya.
... anyway, mimi nilimwelewa Msigwa kwa mtazamo tofauti; it is as if aliongea lugha ya kinyume! Kwamba kutokana na CCM kutamalaki katika ufisadi wanamhitaji spika wa viwango hivyo pia na ndio maana "akapendekeza" jina alilopendekeza; the guy (Msigwa) is so philosophical. I might be wrong as well.
 
CCM imeshatangaza mchakato wa kumpata Spika mpya wa bunge la JMT kupitia chama hicho baada ya kumfurusha " Wakuja" Job Ndugai.

Mchungaji Msigwa akajaribu kuwafundisha CCM ni nani atayefaa kuwa Spika mpya ili kuleta mshikamano bungeni lakini akafokewa na kuagizwa " KUFUTA" mara moja huo ushauri na Godbless Lema hatimaye Msigwa aliufyata akafuta.

Lakini ngome ya Mkwawa iliibuka na kumtaka mchungaji Msigwa arejeshe bandiko lake mtandaoni kwani ule ni ushauri wake binafsi.

Unaweza kujiuliza kama Chadema haina " Wenyewe" huyu Godbless Lema anapata wapi jeuri ya kumuamrisha mwenyekiti wa Chadema kanda ya Nyasa?

Mwamba tuvushe salama!
What a crap 💩
 
Umeupiga mwingi kama Pele
 
Chama cha Siasa ni mali ya wanachama Ila kwa CDM ni tofauti.

Fact kwamba CHADEMA ilianzishwa na mkwewe Freeman Mbowe, Mzee Edwin Mtei ndiyo inayomharibu Mbowe. Anajiona ni Mwenyekiti wa maisha na Chama ni chake
 
Back
Top Bottom