Jaji Werema: Bunge halina Mamlaka ya kuniwajibisha!

Jaji Werema: Bunge halina Mamlaka ya kuniwajibisha!

Ndo maana wanaipigia chapuo katiba yao mbovu! Kama rais hataki kumwajibisha hata ni fisadi au ametenda kinyume ataendelea kudunda tu!
 
Kama bunge linaweza kumuwajibisha aliyemteua basi naye ajue wanaweza muwajibisha indirectly.
 
Huyu baba anamdomo sana kwahiyo yeye ndo anamamlaka ya kuliwajibisha hill binge mxcheeeeew zake
 
Matokeo ya jeuri ya werema ni kuanguka kwa serikali endapo kikwete atajaribu kumuokoa werema kutoka ktk shimo alilozama,
kwa nguvu kubwa sana tutamsukumizia kikwete kwenye shimo hilo akam-join werema kama anamuhitaji sana kiasi hichi.
 
Mwanasheria Mkuu wa Serikali,Jaji Fredick Werema,amesema bunge halina mamlaka ya kumwajibisha bali anaweza kuwajibishwa na aliemteua tu.

....


Hili limjamaa nadhani lina matatizo kichwani sio bure. Aina hii ya watendaji ndio hasa wanachangia "kumwangusha" Rais; sjiui Rais anatoaga wapi haya majitu. Well, Bunge halina mamlaka ya kumwajibisha yeye moja kwa moja bali lina uwezo wa kumwajibisha aliyemteua! Likiamua kufanya hivyo atapona? Au anataka kuliambia nini Bunge? Kwamba "ufalme" wote udondoke? Kauli ya kilevi kabisa hii!
 
Matokeo ya jeuri ya werema ni kuanguka kwa serikali endapo kikwete atajaribu kumuokoa werema kutoka ktk shimo alilozama,
kwa nguvu kubwa sana tutamsukumizia kikwete kwenye shimo hilo akam-join werema kama anamuhitaji sana kiasi hichi.

Werema ni mtu mbaya anakale kaukatili kiburi na jeuri sana simpendi kabisa na akiendelea kukaa kwenye system ataliteketeza hili taifa
 
Mwanasheria Mkuu wa Serikali,Jaji Fredick Werema,amesema bunge halina mamlaka ya kumwajibisha bali anaweza kuwajibishwa na aliemteua tu.

CHANZO:Habarileo

MY TAKE:
Ni kweli kabisa na ni matokeo ya hii katiba mbovu tulionayo.
Kwani Bunge limemwajibisha??? Bunge jana na kwanza bado sio Bunge ni Kamati ya Zitto yenyewe imetoa mapendekezo ya aliye na mamlaka juu yake amwajibishe.
 
Mwanasheria Mkuu wa Serikali,Jaji Fredick Werema,amesema bunge halina mamlaka ya kumwajibisha bali anaweza kuwajibishwa na aliemteua tu.

CHANZO:Habarileo

MY TAKE:
Ni kweli kabisa na ni matokeo ya hii katiba mbovu tulionayo.
Huyu poti mjinga sana.Sijui watu wa Mara tumepatwa na nini,maana majivuno yametamalaki. Kwani Bunge linapowawajibisha mawaziri,huwa limewateua? Imbecile order!
 
Mwanasheria Mkuu wa Serikali,Jaji Fredick Werema,amesema bunge halina mamlaka ya kumwajibisha bali anaweza kuwajibishwa na aliemteua tu.

CHANZO:Habarileo

MY TAKE:
Ni kweli kabisa na ni matokeo ya hii katiba mbovu tulionayo.

Hizi ndio tunaita kauli za dharau na kejeli kwa huyu TUMBIRI Mzee werema.
 
Last edited by a moderator:
Direct or indirect Bunge linaweza muwajibisha. Ni kutoelewa kwamba serikali ni ya watu kwa ajili ya watu na imewekwa na watu katika nchi hii ya kidemokrasia inayomfanya aseme hivyo. Laiti angejua kuwa bunge linaweza kususia mchango wake ndani ya bunge na hata akaondolewa na spika na hivyo kumfanya Rais amteue Mwanasheria mkuu mwingine. haya ni yale yale tu ya kusema Pesa ya IPTL siyo ya wananchi
 
Ile Kamati ya ZITTO imejaa mbwembwe tu hakuna hta mmoja atakaye wajibka
 
Back
Top Bottom