Naibu Spika Tulia Ackson Mwansasu anapwaya, hafai

Naibu Spika Tulia Ackson Mwansasu anapwaya, hafai

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,315
Reaction score
144,721
Hivi huyu naibu spika wa bunge, ambaye sijui ni dokta wa sheria [PhD], huo udokta wake ni halali kweli?

Huyu naye inabidi vyeti vyake vihakikiwe, haki ya nani! Akina nani hao waliompa hiyo PhD?

Manake inaonekana kabisa hajui hata alifanyalo. Yupo yupo tu kakaa kwenye kiti na kuongea mambo ya ajabu ajabu.

Leo alivyomkingia kifua waziri mkuu kuhusu swali la mheshimiwa Mbowe, kaonyesha ni jinsi gani alivyo mweupe.

Ndo madhara ya kubebwa hayo. Mtu hana tajiriba hata ya miezi sita kwenye shughuli za bunge halafu mnampigia makura yenu ili awe naibu spika.

CCM mnatia aibu aisee. Ifikie pahala muache mambo ya unazi wa vyama na muangalie maslahi ya taifa. Sasa mtu ki.laza kama huyo nanyi mlimchagua wa nini hasa?

Hivi huyo dada hawezi kufukuzwa kazi?

Shame on you CCM. You are a disgrace.

That woman is totally clueless on what she's doing but you put her there anyway.

She's just winging it and it's sickening.
 
Hapana, huyu dada anatuaibisha Watanzania wote.

Naibu spika gani kila.z.a hivyo?

Yaani akifungua tu mdomo wake vinyweleo vinasisimka kwa hofu ya kile kitakachotoka humo kinywani mwake.

PhD yake ni halali kweli huyo?
Watanzania wote gani wanaaibishwa? Wacha uongo hizi propaganda haziwezi kulisaidia taifa kuendelea. WTZ wengi wanaisaidia serikali iliyopo madarakani. Pamoja na Ukilaza wake unaousema mwenzako yuko Bungeni anafanya shughuli zake kama kawaida wewe mwenye PhD ya kujificha unaganga njaa JF.
 
Hii ndio garama na hatimae madhara yanayotokea kwa CCM kutumia wingi wao bungeni vibaya.
Leo wanamwona huyu Tulia kuwa ana madhara kwa wabunge wa Upinzani lakini nawaambia CCM/Watawala this very same person (Naibu Spika)ambae leo mnamtumia kama nguzo yenu mle bungeni atakuja kuwagharimu sana.
Muda unaongea.
Ukimuangalia Spika Ndugai ile body language tu inakueleza hayupo happy kufanya kazi na huyu Tulia, ni vile amepelekwa pale na watawala basi hana jinsi.
Inasikitisha sana.
 
Watanzania wote gani wanaaibishwa? Wacha uongo hizi propaganda haziwezi kulisaidia taifa kuendelea. WTZ wengi wanaisaidia serikali iliyopo madarakani. Pamoja na Ukilaza wake unaousema mwenzako yuko Bungeni anafanya shughuli zake kama kawaida wewe mwenye PhD ya kujificha unaganga njaa JF.

Kati yangu na yako nani anapiga propaganda?
 
kwani waziri mkuu angekubali hizo tuhuma?
 
Hapana, huyu dada anatuaibisha Watanzania wote.

Naibu spika gani kila.z.a hivyo?

Yaani akifungua tu mdomo wake vinyweleo vinasisimka kwa hofu ya kile kitakachotoka humo kinywani mwake.

PhD yake ni halali kweli huyo?
Hivi unahoji PhD yake kwa hoja ipi. Eti akifungua mdomo then what? Akili ndogo ni shida sana. Lete hoja za ukilaza wake na sio polojo. Kuja na hoja za kikanuni za bunge na sheria.
 
Hapana, huyu dada anatuaibisha Watanzania wote.

Naibu spika gani kila.z.a hivyo?

Yaani akifungua tu mdomo wake vinyweleo vinasisimka kwa hofu ya kile kitakachotoka humo kinywani mwake.

PhD yake ni halali kweli huyo?
ungesema anaibisha wanawake chief
..halafu eti wanataka fifty fifty!
 
Back
Top Bottom