Jicho la kisheria kuhusu uhalali wa barua ya Spika Ndugai kujiuzulu

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Dec 27, 2012
10,197
25,516
Nikiri wazi kuwa nami, nikiwa mtanzania wa kawaida na mfuatiliaji mzuri wa mambo ya kisiasa na kijamii, nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sakata lililopelekea Spika Job Yustino Ndugai kuandika barua ya kujiuzulu nafasi yake ya Spika. Nimefuatilia pia mjadala ulioibuka kuhusu uhalali wa barua yake ya kujiuzulu Uspika. Kama Msomi wa sheria (neno lililokuwa likimkwaza Mjiuzulu) nawiwa kuchangia katika hoja hii.

Nimepata fursa, ingawa si kubwa sana, kupitia Ibara za Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Sura Nambari 2 ya Sheria za Nchi yetu (Katiba) na Kanuni za Kudumu za Bunge (Toleo la 2016) ili kuona utaratibu wa kufuatwa pale Spika anapotaka kujiuzulu. Nimepitia nyaraka hizi kwakuwa ndizo hasa zinazounda na kuendesha Bunge kwa kiwango kikubwa. Kanuni tajwa za Bunge zimetungwa chini ya Ibara ya 89 ya Katiba.

Nilianza na Kanuni za Kudumu za Bunge. Neno 'kujiuzulu' limetajwa mara sita kwenye Kanuni husika. Ni kuhusu maazimio ya kuwaondoa madarakani Rais, Makamu wa Rais, Spika na Naibu Spika. Kuhusiana na Spika, kujiuzulu kwake kunaelezwa kwenye Kanuni ya 137 Fasili ya 6. Ni pale ambapo Spika anajiuzulu kabla ya uamuzi wa hoja ya Bunge ya kumuondoa madarakani. Namna ya kujiuzulu huku, kwa mujibu wa Kanuni na Fasili tajwa ni kutoa maelezo yake Bungeni. Kimsingi, ni wakati wa kikao cha Bunge. Kwa Ndugai hakukuwa na hoja ya aina hiyo.

Kanuni za Bunge hazisemi wala hazitoi utaratibu wowote wa namna ya kujiuzulu kwa Spika pale ambapo hakuna hoja ya kumuondoa madarakani ndani ya Bunge kwa mujibu wa Kanuni ya 137 nzima. Lakini, Katiba inatoa majibu. Ibara ya 149, Ibara Ndogo ya 1 kifungu (c) inamtaka Spika anayetaka kujiuzulu kuwasilisha taarifa yake ya maandishi aliyoitia saini yake kwenye Bunge. Kwangu mimi, 'kwenye Bunge' kunamaanisha kwa Mtendaji Mkuu katika Ofisi ya Bunge ambaye ni Katibu wa Bunge kwa mujibu wa Ibara ya 87, Ibara ndogo ya 2.

Kwakuwa Kanuni za Bunge ziko kimya kuhusu utaratibu wa Spika kujiuzulu bila ya uwepo wa hoja ya kumuondoa madarakani Bungeni, matakwa ya Katiba LAZIMA yatimizwe. Ndiyo kusema, taarifa ya kujiuzulu kwa Spika LAZIMA iwasilishwe kwa Katibu wa Bunge na si vinginevyo. Si sawa wala sahihi kwa Spika kuwasilisha taarifa ya kujiuzulu kwake kwa Katibu Mkuu wa CCM badala ya Katibu wa Bunge. Haikuwa sahihi pia Katibu wa Bunge kunakiliwa TU barua husika.

Hivyobasi, nakubaliana na wote wanaotoa maoni ya kisheria kuwa barua/taarifa ya Spika Job Yustino Ndugai ya kujiuzulu kwake haikuwa halali. Anapaswa kuandika, kusaini na kuwasilisha taarifa yake kwa mujibu wa Katiba. Katibu Mkuu wa CCM, namshauri, kujiweka mbali na mtego huu wa kikatiba. Ingekuwa sahihi kuandikiwa Katibu Mkuu wa CCM kama Ndugai angetaka kuachia uanachama wake wa CCM.
 
Amini nakwambia kama kitini kuna Jaji Tiganga, tegemea haya:

"Kwa maoni yangu hoja zako hazikuweza kuutingisha ukweli kuwa, Ayubu amejiuzulu."

Ninatoa AMRI.
 
Hiyo mbona haikuhitaji kuoitia katiba au kuwa wakili msomi kuona kwamba haikua sahihi barua ya kujiuzulu ubunge kuelekezwa kwa katibu wa ccm badala ya katibu wa bunge?

Kwavile wamezoea kuvunja sheria na taratibu inapofikia kupitisha mambo yao, usishangae wakalinyamazia hili jambo.

Ikumbukwe hatusemi arudie kazi yake la hasha, tunachosema ni utaratibu wa kujiuzulu ufanyike kama katiba inavyoelekeza. Wasipokua makini, wataibua varangati lingine la mgongano wa kikatiba.

Mzee wa kuomba msamaha aandike barua nyingine ( tena bila kutumia herufi kubwa kama anafoka) akiielekeza kwa katibu wa bunge.

CCM angewaandikia kama ingekua anajivua ubunge au uanachama.

And that is according to The Monk Layman school of law
 
Nikiri wazi kuwa nami, nikiwa mtanzania wa kawaida na mfuatiliaji mzuri wa mambo ya kisiasa na kijamii, nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sakata lililopelekea Spika Job Yustino Ndugai kuandika barua ya kujiuzulu nafasi yake ya Spika. Nimefuatilia pia mjadala ulioibuka kuhusu uhalali wa barua yake ya kujiuzulu Uspika. Kama Msomi wa sheria (neno lililokuwa likimkwaza Mjiuzulu) nawiwa kuchangia katika hoja hii.

Nimepata fursa, ingawa si kubwa sana, kupitia Ibara za Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Sura Nambari 2 ya Sheria za Nchi yetu (Katiba) na Kanuni za Kudumu za Bunge (Toleo la 2016) ili kuona utaratibu wa kufuatwa pale Spika anapotaka kujiuzulu. Nimepitia nyaraka hizi kwakuwa ndizo hasa zinazounda na kuendesha Bunge kwa kiwango kikubwa. Kanuni tajwa za Bunge zimetungwa chini ya Ibara ya 89 ya Katiba.

Nilianza na Kanuni za Kudumu za Bunge. Neno 'kujiuzulu' limetajwa mara sita kwenye Kanuni husika. Ni kuhusu maazimio ya kuwaondoa madarakani Rais, Makamu wa Rais, Spika na Naibu Spika. Kuhusiana na Spika, kujiuzulu kwake kunaelezwa kwenye Kanuni ya 137 Fasili ya 6. Ni pale ambapo Spika anajiuzulu kabla ya uamuzi wa hoja ya Bunge ya kumuondoa madarakani. Namna ya kujiuzulu huku, kwa mujibu wa Kanuni na Fasili tajwa ni kutoa maelezo yake Bungeni. Kimsingi, ni wakati wa kikao cha Bunge. Kwa Ndugai hakukuwa na hoja ya aina hiyo.

Kanuni za Bunge hazisemi wala hazitoi utaratibu wowote wa namna ya kujiuzulu kwa Spika pale ambapo hakuna hoja ya kumuondoa madarakani ndani ya Bunge kwa mujibu wa Kanuni ya 137 nzima. Lakini, Katiba inatoa majibu. Ibara ya 149, Ibara Ndogo ya 1 kifungu (c) inamtaka Spika anayetaka kujiuzulu kuwasilisha taarifa yake ya maandishi aliyoitia saini yake kwenye Bunge. Kwangu mimi, 'kwenye Bunge' kunamaanisha kwa Mtendaji Mkuu katika Ofisi ya Bunge ambaye ni Katibu wa Bunge kwa mujibu wa Ibara ya 87, Ibara ndogo ya 2.

Kwakuwa Kanuni za Bunge ziko kimya kuhusu utaratibu wa Spika kujiuzulu bila ya uwepo wa hoja ya kumuondoa madarakani Bungeni, matakwa ya Katiba LAZIMA yatimizwe. Ndiyo kusema, taarifa ya kujiuzulu kwa Spika LAZIMA iwasilishwe kwa Katibu wa Bunge na si vinginevyo. Si sawa wala sahihi kwa Spika kuwasilisha taarifa ya kujiuzulu kwake kwa Katibu Mkuu wa CCM badala ya Katibu wa Bunge. Haikuwa sahihi pia Katibu wa Bunge kunakiliwa TU barua husika.

Hivyobasi, nakubaliana na wote wanaotoa maoni ya kisheria kuwa barua/taarifa ya Spika Job Yustino Ndugai ya kujiuzulu kwake haikuwa halali. Anapaswa kuandika, kusaini na kuwasilisha taarifa yake kwa mujibu wa Katiba. Katibu Mkuu wa CCM, namshauri, kujiweka mbali na mtego huu wa kikatiba. Ingekuwa sahihi kuandikiwa Katibu Mkuu wa CCM kama Ndugai angetaka kuachia uanachama wake wa CCM.
Asante sana kutukumbusha kuwa tanzania ni kama haina katiba kwani iliyopo inakanyagwa kanywagwa tu. Nadhani pia pungufu jingine kubwa kwenye katiba kuhusu swala hili ni kuwa ajenda zote za vikao vya bunge zinapangwa na spika, hivyo anaweza asiruhusu hiyo hoja ya kutaka kumuondoa madarakani kuwekwa kikaoni.
 
Nikiri wazi kuwa nami, nikiwa mtanzania wa kawaida na mfuatiliaji mzuri wa mambo ya kisiasa na kijamii, nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sakata lililopelekea Spika Job Yustino Ndugai kuandika barua ya kujiuzulu nafasi yake ya Spika. Nimefuatilia pia mjadala ulioibuka kuhusu uhalali wa barua yake ya kujiuzulu Uspika. Kama Msomi wa sheria (neno lililokuwa likimkwaza Mjiuzulu) nawiwa kuchangia katika hoja hii.

Nimepata fursa, ingawa si kubwa sana, kupitia Ibara za Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Sura Nambari 2 ya Sheria za Nchi yetu (Katiba) na Kanuni za Kudumu za Bunge (Toleo la 2016) ili kuona utaratibu wa kufuatwa pale Spika anapotaka kujiuzulu. Nimepitia nyaraka hizi kwakuwa ndizo hasa zinazounda na kuendesha Bunge kwa kiwango kikubwa. Kanuni tajwa za Bunge zimetungwa chini ya Ibara ya 89 ya Katiba.

Nilianza na Kanuni za Kudumu za Bunge. Neno 'kujiuzulu' limetajwa mara sita kwenye Kanuni husika. Ni kuhusu maazimio ya kuwaondoa madarakani Rais, Makamu wa Rais, Spika na Naibu Spika. Kuhusiana na Spika, kujiuzulu kwake kunaelezwa kwenye Kanuni ya 137 Fasili ya 6. Ni pale ambapo Spika anajiuzulu kabla ya uamuzi wa hoja ya Bunge ya kumuondoa madarakani. Namna ya kujiuzulu huku, kwa mujibu wa Kanuni na Fasili tajwa ni kutoa maelezo yake Bungeni. Kimsingi, ni wakati wa kikao cha Bunge. Kwa Ndugai hakukuwa na hoja ya aina hiyo.

Kanuni za Bunge hazisemi wala hazitoi utaratibu wowote wa namna ya kujiuzulu kwa Spika pale ambapo hakuna hoja ya kumuondoa madarakani ndani ya Bunge kwa mujibu wa Kanuni ya 137 nzima. Lakini, Katiba inatoa majibu. Ibara ya 149, Ibara Ndogo ya 1 kifungu (c) inamtaka Spika anayetaka kujiuzulu kuwasilisha taarifa yake ya maandishi aliyoitia saini yake kwenye Bunge. Kwangu mimi, 'kwenye Bunge' kunamaanisha kwa Mtendaji Mkuu katika Ofisi ya Bunge ambaye ni Katibu wa Bunge kwa mujibu wa Ibara ya 87, Ibara ndogo ya 2.

Kwakuwa Kanuni za Bunge ziko kimya kuhusu utaratibu wa Spika kujiuzulu bila ya uwepo wa hoja ya kumuondoa madarakani Bungeni, matakwa ya Katiba LAZIMA yatimizwe. Ndiyo kusema, taarifa ya kujiuzulu kwa Spika LAZIMA iwasilishwe kwa Katibu wa Bunge na si vinginevyo. Si sawa wala sahihi kwa Spika kuwasilisha taarifa ya kujiuzulu kwake kwa Katibu Mkuu wa CCM badala ya Katibu wa Bunge. Haikuwa sahihi pia Katibu wa Bunge kunakiliwa TU barua husika.

Hivyobasi, nakubaliana na wote wanaotoa maoni ya kisheria kuwa barua/taarifa ya Spika Job Yustino Ndugai ya kujiuzulu kwake haikuwa halali. Anapaswa kuandika, kusaini na kuwasilisha taarifa yake kwa mujibu wa Katiba. Katibu Mkuu wa CCM, namshauri, kujiweka mbali na mtego huu wa kikatiba. Ingekuwa sahihi kuandikiwa Katibu Mkuu wa CCM kama Ndugai angetaka kuachia uanachama wake wa CCM.
Nakumbuka na wewe ni mmoja ya watu mliosalimu amri mbele ya jiwe na kuanza kuandika ugoro humu kama kuku aliyekatwa kichwa..
Back to the topic umedadavua vizuri kisheria ila uwege na misimamo na sio kutikiswa kidogo unaikimbia familia.
 
Sijawahi Mkuu kuuacha ukweli unipite. Na sitawahi kufanya hivyo
 
Hiyo kazi ya kikatiba lazima aimalizie
Nadhani amepeleka kwa katibu wa chama chake kwanza sababu chama ndicho kilichompitisha kuwania hiyo nafasi.

Japo nakubaliana na wewe ilipaswa ahitimishe uspika wake kwa kupeleka barua halisi ya kujiuzulu yenye sahihi yake maana ule ni muhimili huru unaojitegemea (japo hili lina walakini.
 
Tatsiri yangu ni kuwa si kwamba spika hajui utaratibu bali Ndugai anapeleka ujumbe chamani kuwa waliomkataa ni wana ccm kwa sababu zao za kichama na si wananchi/Watanzania. Kwa hiyo wanachama wapende wasipende ndugai ataondoka kwa wanachama na atarudi kwa wananchi ambao watampa kazi yenye hadhi kama hiyo hiyo au hata yenye hadhi ya juu zaidi
 
Nikiri wazi kuwa nami, nikiwa mtanzania wa kawaida na mfuatiliaji mzuri wa mambo ya kisiasa na kijamii, nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sakata lililopelekea Spika Job Yustino Ndugai kuandika barua ya kujiuzulu nafasi yake ya Spika. Nimefuatilia pia mjadala ulioibuka kuhusu uhalali wa barua yake ya kujiuzulu Uspika. Kama Msomi wa sheria (neno lililokuwa likimkwaza Mjiuzulu) nawiwa kuchangia katika hoja hii.

Nimepata fursa, ingawa si kubwa sana, kupitia Ibara za Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Sura Nambari 2 ya Sheria za Nchi yetu (Katiba) na Kanuni za Kudumu za Bunge (Toleo la 2016) ili kuona utaratibu wa kufuatwa pale Spika anapotaka kujiuzulu. Nimepitia nyaraka hizi kwakuwa ndizo hasa zinazounda na kuendesha Bunge kwa kiwango kikubwa. Kanuni tajwa za Bunge zimetungwa chini ya Ibara ya 89 ya Katiba.

Nilianza na Kanuni za Kudumu za Bunge. Neno 'kujiuzulu' limetajwa mara sita kwenye Kanuni husika. Ni kuhusu maazimio ya kuwaondoa madarakani Rais, Makamu wa Rais, Spika na Naibu Spika. Kuhusiana na Spika, kujiuzulu kwake kunaelezwa kwenye Kanuni ya 137 Fasili ya 6. Ni pale ambapo Spika anajiuzulu kabla ya uamuzi wa hoja ya Bunge ya kumuondoa madarakani. Namna ya kujiuzulu huku, kwa mujibu wa Kanuni na Fasili tajwa ni kutoa maelezo yake Bungeni. Kimsingi, ni wakati wa kikao cha Bunge. Kwa Ndugai hakukuwa na hoja ya aina hiyo.

Kanuni za Bunge hazisemi wala hazitoi utaratibu wowote wa namna ya kujiuzulu kwa Spika pale ambapo hakuna hoja ya kumuondoa madarakani ndani ya Bunge kwa mujibu wa Kanuni ya 137 nzima. Lakini, Katiba inatoa majibu. Ibara ya 149, Ibara Ndogo ya 1 kifungu (c) inamtaka Spika anayetaka kujiuzulu kuwasilisha taarifa yake ya maandishi aliyoitia saini yake kwenye Bunge. Kwangu mimi, 'kwenye Bunge' kunamaanisha kwa Mtendaji Mkuu katika Ofisi ya Bunge ambaye ni Katibu wa Bunge kwa mujibu wa Ibara ya 87, Ibara ndogo ya 2.

Kwakuwa Kanuni za Bunge ziko kimya kuhusu utaratibu wa Spika kujiuzulu bila ya uwepo wa hoja ya kumuondoa madarakani Bungeni, matakwa ya Katiba LAZIMA yatimizwe. Ndiyo kusema, taarifa ya kujiuzulu kwa Spika LAZIMA iwasilishwe kwa Katibu wa Bunge na si vinginevyo. Si sawa wala sahihi kwa Spika kuwasilisha taarifa ya kujiuzulu kwake kwa Katibu Mkuu wa CCM badala ya Katibu wa Bunge. Haikuwa sahihi pia Katibu wa Bunge kunakiliwa TU barua husika.

Hivyobasi, nakubaliana na wote wanaotoa maoni ya kisheria kuwa barua/taarifa ya Spika Job Yustino Ndugai ya kujiuzulu kwake haikuwa halali. Anapaswa kuandika, kusaini na kuwasilisha taarifa yake kwa mujibu wa Katiba. Katibu Mkuu wa CCM, namshauri, kujiweka mbali na mtego huu wa kikatiba. Ingekuwa sahihi kuandikiwa Katibu Mkuu wa CCM kama Ndugai angetaka kuachia uanachama wake wa CCM.
Sawa,ila hiyo haiondoi ukweli kwamba kajiuzuru pamoja na hizo proceedings,labda aikane barua yake mwenyewe,kwamba si yeye aliyeiandika
 
Katibu wa bunge ameshatangaza kiti kipo wazi na uchaguzi wa spika mpya ni tarehe 1 February.

Hizi nyingine ni porojo tu, wale wadada 19 wapo bungeni kwa katiba ipi?
 
1641546735484.jpeg
 
Back
Top Bottom