Mzungu/muitaliano akanusha kutapeliwa na January Makamba

Usher-smith MD

JF-Expert Member
Jul 7, 2015
9,559
12,324
Mange kimambi sijui anajiskiaje
Alidandia treni kwa mbele :D:D:D
ImageUploadedByJamiiForums1457297091.406028.jpg
 
Tatizo amekanusha wakati tayar ameshammwagia mange mambo meng sana,na pia wakina makamba wamejuchanganya sana kufanya mainterview yao na waandisha huku wakiwa wanakoroga habari mtu na Dada yake,yaan kama una akili timamu tayar utagundua ukweli uko wapi
 
Mzungu wa watu kaambiwa andika hivi akiwa chini ya ulinzi mkali, angekataaje? Leo ilikuwa aongee na vyombo vya habari imeshindikana nani anajua kwa nini? Makamba ni waziri na mzungu ni wa kuja anaweza ondolewa any time bila hata kupewa rushusa ya kuchuka japo suruali zake tu. Hawa makamba ni mafioso kabisaaaa. Weka mbali na watoto.
 
ukweli ni kwamba mange ni taahira na wanaomuamini ni mataahira mapunguani wenzake
 
Mzungu wa watu kaambiwa andika hivi akiwa chini ya ulinzi mkali, angekataaje? Leo ilikuwa aongee na vyombo vya habari imeshindikana nani anajua kwa nini? Makamba ni waziri na mzungu ni wa kuja anaweza ondolewa any time bila hata kupewa rushusa ya kuchuka japo suruali zake tu. Hawa makamba ni mafioso kabisaaaa. Weka mbali na watoto.
Kama yule mzungu aliyefunga ndoa na dada yake tu walimfanyizia huyu unafikiri watamuacha. Hawa jamaa wameabuse system for many years. Kuna mzungu alikuja na girlfriend wake wa kinigeria Mwami akamchukua mzungu na yule dada wa nigeria wakamsukia zengwe akadipotiwa. Dada alipanda ndege huku anataka kuvua nguo it was so cruel na bidada akabaki na buzi. Hii ni wakati Makamba Snr ni RC wa DSM.
 
Hicho kipeperushi mbona cha kawaida sana, hivyo navitengenezaga mno na watu wanakanusha tu.

Januaryy hebu acha huu upuuzi, wadanganye wajinga wenzako aisee
 
JAMANI PELEKENI HIYO LTR KWA NYANI NGABU

NAWASI WASI NA ENGLISH YAKE

CC NYANINGABU HD TEACHER
 
WANACHOJISAHAU

MZUNGU ANATISHWA LAKN KAMWAGA DOCS ZOTE KWA MANGEBKIMAMBI

JE WATAMWONDOA NCHINI MANGE??SAKATATAMU

USIKUWALEO NIMEPATA BARUA YA MZUNGU KAANDIKIWA NA MWAMVITA UNLESS AKANUSHE INAMSHUKURU NA KUMHAIDI KAKA YUKO CLOSE NA PRESIDENT AKIRDI WATAYAMALIZA ..NA ATTACH INAGOMA
 
Kama yule mzungu aliyefunga ndoa na dada yake tu walimfanyizia huyu unafikiri watamuacha. Hawa jamaa wameabuse system for many years. Kuna mzungu alikuja na girlfriend wake wa kinigeria Mwami akamchukua mzungu na yule dada wa nigeria wakamsukia zengwe akadipotiwa. Dada alipanda ndege huku anataka kuvua nguo it was so cruel na bidada akabaki na buzi. Hii ni wakati Makamba Snr ni RC wa DSM.
Hivi huyu Mwamy tofauti yake na Masogange ni ipi ?? Sasa ka usemi ka Ndugu yetu Mugabe kamukua proved wrong ,
 
Back
Top Bottom