Rais Samia, wizi huu kwenye Halmashauri tumbua Wakurugenzi na Maafisa Maendeleo ya Jamii

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Watanzania wanalipa Kodi, usimamizi wa Kodi hizo ni changa moto ambayo kimsingi walio teuliwa na kuajiliwa na serikali ni watu WA ovyo Sanaa..

Kama Kuna sehemu pesa za serikali zinatafunwa ni hizi zinazosemekana ni zao la makusanyo ya halimashauri ambazo utolewa kwa vijana na wakina mama waliopo kwenye halimashauri mbali mbali.

Pesa hizi kwa mujibu wa maelekzezo ya serikali watumishi wa umma ambao wanatakiwa kuzitoa kama kwa maana ya kuzilatibu ni Maafisa maendeleo ya jamii changa moto uanzia hapo.

Kinachofanywa; Maafisa maendeleo ya jamii uunda vikundi hewa, pili uunda vikundi,vya watu wasio na sifa za ujana na kuwapa pesa hizo,
Tatu uumdwa vikundi ambavyo wanavikundi wengi Huwa ni makada w chama Fulani especially ccm na mengine mengi mwisho wa yote fedha hizi uishia kupotea kusiko julikana.
Nini kifanyike?

Kwanz ni muhimu fedha hizi, hasa kwa halimashauri ambayo haijafanikiwa kurudisha fedha hizi ni kuhakikisha wakurugenzi na Maafisa maendeleo wanachunguzwa.

Naushauri Waziri anae uska kuunda KIKUNDI kazi Cha kuchunguZi KIKUNDI iki kitoke private sector kichunguze halimashauri zote mtakuja na majibu ya Kwa Nini fedha hizi hazirejeshwi.
 
Hao maafisa maemdeleo ya jamii na wakurugenzi wao ni mafiosi sana kila wanachosimamia ni Mchongo wa kula Hela Tu.,hili ni tatizo kubwa sana kwa maendeleo ya taifa maskini kama hili la tz.Hicho kiidara kimekula sana heLa za misaada iyopelekwa Kwenye halmashauri za wilaya
 
Tumeambiwa huwa zinakopeshwa bila riba afu zinarudishwa.

Binafsi naona serikali ianzishe Mfuko wa Vijana,Machinga na makundi maalumu Ili pesa hizi ziende Huko na wao mfuko ndio waratibu hizo pesa ikiwemo Kujengea masoko.
 
Hao maafisa maemdeleo ya jamii na wakurugenzi wao ni mafiosi sana kila wanachosimamia ni Mchongo wa kula Hela Tu.,hili ni tatizo kubwa sana kwa maendeleo ya taifa maskini kama hili la tz.Hicho kiidara kimekula sana heLa za misaada iyopelekwa Kwenye halmashauri za wilaya
Huu ni wizi mkubwa sanaa
 
ACHA WIVU ACHA KILA MBUZI ALE KWA UREFU WA KAMBA YAKE ,MSHAAMBIWA RUKSA KULA ILA USIZIDI UREFU WA KAMBA BDAO TU MNALALAMIKA
 
Back
Top Bottom