CHADEMA wanajiita Chama Kikuu cha upinzani wakati walipata mbunge 1 wanatumia vigezo gani?

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,960
32,344
Wanaukumbi.

CHADEMA hamjui hata vigezo vya kuwa chama kikuu cha upinzani. Sasa CHADEMA kwa matamko kwamba hamtambui UCHAGUZI MKUU wa 2020 wala matokeo yake, mnakuwaje tena chama kikuu cha upinzani?

Hebu tuwelewesheni tafadhali, au kwa kiti kimoja cha Ubunge. Kuna swali waliulizwa Bawacha na ofisa mmoja pale ubalozi wa Marekani wakati wa maandamano yao aliwauliza mna wabunge wangapi bungeni wakabaki wanaangaliana.

Yule ofisa akasubiri majibu hamna aliyemjibu.

Uchaguzi Mkuu 2020

Matokeo yalionyesha kuwa ACT Wazalendo ilipata wabunge 3, CUF ilipata wabunge 3 na CHADEMA ilipata mbunge 1.

CHADEMA wanaendelea kujiita chama kikuu cha upinzani au kambi rasmi ya upinzani bungeni au inatokana na wale wabunge wa viti maalumu?
 
Hebu funga macho alafu jiulize hivi wagombea wa chadema wasingeenguliwa kijinga, wasimamizi wangekuwa binadamu wa kawaida, polisi wangeishia kusimamia ulinzi tu na si vinginevyo, matokeo yangetangazwa kihalali kabisa chadema wangepata wabunge wangapi
 
Wanaukumbi.

Chadema hamjui hata vigezo vya kuwa chama kikuu cha upinzani. Sasa CHADEMA kwa matamko kwamba hamtambui UCHAGUZI MKUU wa 2020 wala matokeo yake, mnakuwaje tena chama kikuu cha upinzani?
Hebu tuwelewesheni tafadhali, au kwa kiti kimoja cha Ubunge. Kuna swali waliulizwa Bawacha na ofisa mmoja pale ubalozi wa Marekani wakati wa maandamano yao aliwauliza mna wabunge wangapi bungeni wakabaki wanaangaliana. Yule ofisa akasubiri majibu hamna aliyemjibu.

Uchaguzi Mkuu 2020

Matokeo yalionyesha kuwa ACT Wazalendo ilipata wabunge 3, CUF ilipata wabunge 3 na CHADEMA ilipata mbunge 1.

CHADEMA wanaendelea kujiita chama kikuu cha upinzani au kambi rasmi ya upinzani bungeni au inatokana na wale wabunge wa viti maalumu?
Kigezo ni chama ambacho kinaogopwa na ccm na serekali na kinapambana na polisi Tiss mahakama na kinawashinda
 
Mkuu
Wanaukumbi.

CHADEMA hamjui hata vigezo vya kuwa chama kikuu cha upinzani. Sasa CHADEMA kwa matamko kwamba hamtambui UCHAGUZI MKUU wa 2020 wala matokeo yake, mnakuwaje tena chama kikuu cha upinzani?

Hebu tuwelewesheni tafadhali, au kwa kiti kimoja cha Ubunge. Kuna swali waliulizwa Bawacha na ofisa mmoja pale ubalozi wa Marekani wakati wa maandamano yao aliwauliza mna wabunge wangapi bungeni wakabaki wanaangaliana.

Yule ofisa akasubiri majibu hamna aliyemjibu.

Uchaguzi Mkuu 2020

Matokeo yalionyesha kuwa ACT Wazalendo ilipata wabunge 3, CUF ilipata wabunge 3 na CHADEMA ilipata mbunge 1.

CHADEMA wanaendelea kujiita chama kikuu cha upinzani au kambi rasmi ya upinzani bungeni au inatokana na wale wabunge wa viti maalumu?
Share ya kura za urais ndicho kigezo kikuu cha kutambua chama kikuu cha upinzani.
 
Wanaukumbi.

CHADEMA hamjui hata vigezo vya kuwa chama kikuu cha upinzani. Sasa CHADEMA kwa matamko kwamba hamtambui UCHAGUZI MKUU wa 2020 wala matokeo yake, mnakuwaje tena chama kikuu cha upinzani?

Hebu tuwelewesheni tafadhali, au kwa kiti kimoja cha Ubunge. Kuna swali waliulizwa Bawacha na ofisa mmoja pale ubalozi wa Marekani wakati wa maandamano yao aliwauliza mna wabunge wangapi bungeni wakabaki wanaangaliana.

Yule ofisa akasubiri majibu hamna aliyemjibu.

Uchaguzi Mkuu 2020

Matokeo yalionyesha kuwa ACT Wazalendo ilipata wabunge 3, CUF ilipata wabunge 3 na CHADEMA ilipata mbunge 1.

CHADEMA wanaendelea kujiita chama kikuu cha upinzani au kambi rasmi ya upinzani bungeni au inatokana na wale wabunge wa viti maalumu?
Chama kikuu cha upinzani duuuuuu?
 
Kamuulize Samia kwa nini anazuia mikutano ya siasa unadhani anahofia act?

Kaulize magu alitumia trillion ngapi kuua cdm na akafa bila mafanikio

Muulize siro kwani Hatulii anawawinda ma cdm mpaka makanisani
 
Hebu funga macho alafu jiulize hivi wagombea wa chadema wasingeenguliwa kijinga, wasimamizi wangukuwa binadamu wa kawaida, polisi wqngeishia kusimamia ulinzi tu na si vinginevyo, matokeo yangetangazea kihalali kabisa chadema wangepata wabunge wangapi
Kwa hiyo unaikubali Tume ya Taifa ya Uchaguzi?
 
Wanaukumbi.

CHADEMA hamjui hata vigezo vya kuwa chama kikuu cha upinzani. Sasa CHADEMA kwa matamko kwamba hamtambui UCHAGUZI MKUU wa 2020 wala matokeo yake, mnakuwaje tena chama kikuu cha upinzani?

Hebu tuwelewesheni tafadhali, au kwa kiti kimoja cha Ubunge. Kuna swali waliulizwa Bawacha na ofisa mmoja pale ubalozi wa Marekani wakati wa maandamano yao aliwauliza mna wabunge wangapi bungeni wakabaki wanaangaliana.

Yule ofisa akasubiri majibu hamna aliyemjibu.

Uchaguzi Mkuu 2020

Matokeo yalionyesha kuwa ACT Wazalendo ilipata wabunge 3, CUF ilipata wabunge 3 na CHADEMA ilipata mbunge 1.

CHADEMA wanaendelea kujiita chama kikuu cha upinzani au kambi rasmi ya upinzani bungeni au inatokana na wale wabunge wa viti maalumu?
Hali ya maisha ngumu sana achaneni na Chadema kidogo mm heck hili wa Tanzania tuko hoi mno na haya makodi mtatuua sasa
 
Kuchangia
Wanaukumbi.

CHADEMA hamjui hata vigezo vya kuwa chama kikuu cha upinzani. Sasa CHADEMA kwa matamko kwamba hamtambui UCHAGUZI MKUU wa 2020 wala matokeo yake, mnakuwaje tena chama kikuu cha upinzani?

Hebu tuwelewesheni tafadhali, au kwa kiti kimoja cha Ubunge. Kuna swali waliulizwa Bawacha na ofisa mmoja pale ubalozi wa Marekani wakati wa maandamano yao aliwauliza mna wabunge wangapi bungeni wakabaki wanaangaliana.

Yule ofisa akasubiri majibu hamna aliyemjibu.

Uchaguzi Mkuu 2020

Matokeo yalionyesha kuwa ACT Wazalendo ilipata wabunge 3, CUF ilipata wabunge 3 na CHADEMA ilipata mbunge 1.

CHADEMA wanaendelea kujiita chama kikuu cha upinzani au kambi rasmi ya upinzani bungeni au inatokana na wale wabunge wa viti maalumu?
Yaani hata kuchangia maoni ya hii thread yako ni kutupunguzia upeo wetu wa kufikiri na kupambanua mambo. Rudi shule, au pata muda wa kutafakari mambo Kwa kina upanue uwezo wako wa kufikiri...
 
Kwa akili yako ya kipunguani unadhani JF ni mali ya Chadema JF ni jukwaa huru kila mtu yupo huru kuchangia.
 
Wanaukumbi.

CHADEMA hamjui hata vigezo vya kuwa chama kikuu cha upinzani. Sasa CHADEMA kwa matamko kwamba hamtambui UCHAGUZI MKUU wa 2020 wala matokeo yake, mnakuwaje tena chama kikuu cha upinzani?

Hebu tuwelewesheni tafadhali, au kwa kiti kimoja cha Ubunge. Kuna swali waliulizwa Bawacha na ofisa mmoja pale ubalozi wa Marekani wakati wa maandamano yao aliwauliza mna wabunge wangapi bungeni wakabaki wanaangaliana.

Yule ofisa akasubiri majibu hamna aliyemjibu.

Uchaguzi Mkuu 2020

Matokeo yalionyesha kuwa ACT Wazalendo ilipata wabunge 3, CUF ilipata wabunge 3 na CHADEMA ilipata mbunge 1.

CHADEMA wanaendelea kujiita chama kikuu cha upinzani au kambi rasmi ya upinzani bungeni au inatokana na wale wabunge wa viti maalumu?
Na wale wabunge wenu 19 mliowapachika kuwa ni wa viti maalum wa CHADEMA mlivuta bangi?
 
Back
Top Bottom