Aibu: Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa waTorori (CCM) ashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za uvunjaji wa Magodown

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
116,476
215,319
Mwenyekiti_wa_Serikali_ya_Mtaa_wa_Toroli_kata_ya_Chang'ombe_Wilaya_ya_Temeke_kupitia_Chama_Cha...jpg

Mh Ally Kipendaroho ni miongoni mwa Wenyeviti wa serikali za mitaa waliopita bila kupingwa , kwenye uchaguzi uliosimamiwa kikamilifu na aliyekuwa Waziri wa Tamisemi Mtukufu Jaffo mwaka 2019 kutokea kijiji cha Torori , kata ya Chang'ombe , Wilayani Temeke.

Ni siku kadhaa sasa zimepita kwa Kipendaroho kuwa selo ya Polisi Chang'ombe kwa TUHUMA ZA KUVUNJA MAGODOWN , Upelelezi juu ya jambo hili ungali unaendelea.

Kijiji cha Torori ni miongoni mwa vijiji vichache sana vilivyobarikiwa kuwa na uwekezaji mkubwa wa viwanda , hivyo kuwa na Maghala mengi ya kuhifadhia bidhaa, huku kikizungukwa na familia nyingi duni zinazozalisha vijana wengi vibaka , wezi na walevi kupindukia.
 
View attachment 2095009

Mh Ally Kipendaroho ni miongoni mwa Wenyeviti wa serikali za mitaa waliopita bila kupingwa , kwenye uchaguzi uliosimamiwa kikamilifu na aliyekuwa Waziri wa Tamisemi Mtukufu Jaffo mwaka 2019 kutokea kijiji cha Torori , kata ya Chang'ombe , Wilayani Temeke .

Ni siku kadhaa sasa zimepita kwa Kipendaroho kuwa selo ya Polisi Chang'ombe kwa TUHUMA ZA KUVUNJA MAGODOWN , Upelelezi juu ya jambo hili ungali unaendelea .

Kijiji cha Torori ni miongoni mwa vijiji vichache sana vilivyobarikiwa kuwa na uwekezaji mkubwa wa viwanda , hivyo kuwa na Maghala mengi ya kuhifadhia bidhaa , huku kikizungukwa na familia nyingi duni zinazozalisha vijana wengi vibaka , wezi na walevi kupindukia .
Safi sana,anatii maagizo ya mwenyekiti wake kila mmoja ale kwa urefu wa kamba yake'
 
View attachment 2095009

Mh Ally Kipendaroho ni miongoni mwa Wenyeviti wa serikali za mitaa waliopita bila kupingwa , kwenye uchaguzi uliosimamiwa kikamilifu na aliyekuwa Waziri wa Tamisemi Mtukufu Jaffo mwaka 2019 kutokea kijiji cha Torori , kata ya Chang'ombe , Wilayani Temeke.

Ni siku kadhaa sasa zimepita kwa Kipendaroho kuwa selo ya Polisi Chang'ombe kwa TUHUMA ZA KUVUNJA MAGODOWN , Upelelezi juu ya jambo hili ungali unaendelea.

Kijiji cha Torori ni miongoni mwa vijiji vichache sana vilivyobarikiwa kuwa na uwekezaji mkubwa wa viwanda , hivyo kuwa na Maghala mengi ya kuhifadhia bidhaa, huku kikizungukwa na familia nyingi duni zinazozalisha vijana wengi vibaka , wezi na walevi kupindukia.
Wenyeviti karibu wote wa mitaa ni jobless na mission town wa CCM
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom