Rais Magufuli kushangiliwa kwa nguvu A. Kusini ina maana gani kwa CHADEMA?

Elitwege

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
5,154
10,809
Marais wengi wameenda kushuhudia kuapishwa kwa Rais wa Afrika Kusini , lakini mara baada ya jina la rais wa Tanzania John Magufuli kutajwa kwamba anaingia uwanjani ,raia wa Afrika kusini walisimama na kushangilia kwa nguvu sana!

36F63A3C-DCAE-46ED-AE72-AD02A765268A.jpeg

Hii ina maanisha nini kwa Lisu na Chadema kwa ujumla ambao wanashinda mitandaoni na kuzurura mataifa mbalimbali kumchafua rais wetu?

Siyo siri tena rais Magufuli anakubalika Tanzania na duniani kote.

======

Umati mkubwa wa wananchi umelipuka kwa shangwe na chereko wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipowasili katika uwanja wa michezo wa Loftus Versfeld jijini Pretoria kuhudhuria sherehe za kuaishwa kwa Rais wa Afrika ya Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa leo Jumamosi Mei 25, 2019

Chanzo: Mpekuzihuru
 
Marais wengi wameenda kushuhudia kuapishwa kwa Rais wa Afrika Kusini , lakini mara baada ya jina la rais wa Tanzania John Magufuli kutajwa kwamba anaingia uwanjani ,raia wa Afrika kusini walisimama na kushangilia kwa nguvu sana!

Hii ina maanisha nini kwa Lisu na Chadema kwa ujumla ambao wanashinda mitandaoni na kuzurura mataifa mbalimbali kumchafua rais wetu?

Siyo siri tena rais Magufuli anakubalika Tanzania na duniani kote.

nadhani hukuwahi kushuhudia Robert Mugabe alivyokuwa anaabudiwa (nini kushangiliwa) kila alipokuwa akizuru Sauzi.
 
Back
Top Bottom