Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria inawaalika wadau kutoa maoni ya wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali Na. 7 wa Mwaka 2021 (The Written Laws...
7 Reactions
23 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA anasadikiwa kuwa na ukwasi mwingi tu na kumiliki biashara kibao hapa nchini na hata huko falme za kiarabu hasa Dubai. Sasa kwa mali na ukwasi alionao si ndio ilikuwa fursa...
4 Reactions
42 Replies
4K Views
Wakuu nawasalimu kwa jina la jamhuri ya JMT. Nataka tujadili katiba iliyopo kwamba vitu gani vibaki, viondolewe kabisa au kufanyiwa marekebisho. Mimi ninawaleteeni ibara tatu ambapo ya kwanza...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Kwanza majina ya akina Halima James Mdee na wenzake yalipelekwa bungeni na Dr Mahela wa NEC akidai amepewa na Katibu mkuu wa Chadema mh J J Mnyika. Pili Chadema walipokea rufaa za hao covid 19...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Leo Februari 02, 2022 katika ukumbi wa Chinangali Park, Dodoma Mhe. Samia Suluhu Hassan ameshiriki kwenye kilele cha maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini akiwa kama Mgeni Rasmi. Kauli Mbiu ni...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Kupitia hafla ya kuwatunuku maofisa wa jeshi nishani za miaka 60 ya Uhuru muda mchache uliopita hapo Ikulu nimebaini Jenerali Venance Mabeyo ni mmoja wa wazalendo wa kweli kuwahi kutokea jeshini...
23 Reactions
78 Replies
11K Views
Jana nilikuwa jimboni Mtama, sehemu ambayo mwakilishi wake kwenye bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Nape Moses Nnauye mwanasiasa kijana aliyewahi kuwa Mwenezi wa CCM na Waziri wakati...
10 Reactions
68 Replies
7K Views
Huu ndio Mtiti ambao hawa vijana wameamua kwenda nao kwa sasa, huku taarifa zikionyesha kwamba kila wanapoingia wanashangiliwa mno. Katavi yote inawaka moto wa Katiba Mpya. Kwa hali ilipofikia si...
8 Reactions
32 Replies
2K Views
Hakuna mahali popote katika historia ya nchi hii, kabla ya ukoloni, kwamba palikuwa na machifu. Machifu ni watawala wa mkoloni waliosimikwa kwa ajili ya kazi ya mkoloni. Divide and Rule tactics...
8 Reactions
64 Replies
5K Views
Rais wa JMT mh Samia amesema serikali haiwezi kuiingilia mahakama na kwamba wao hutegemea mahakama katika maswaka yaliyopo mahakamani. Ikumbukwe kuwa aliyekuwa mbunge wa Kigoma mjini mh Zitto...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson, ameshinda uchaguzi wa nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kupata kura 376 kati ya 376 zilizopigwa sawa na...
21 Reactions
141 Replies
13K Views
Akiwa bungeni, Naibu waziri wa Nishati, Stephen Byabato ametangaza kusitisha mgao uliotangazwa awali kwa madai kwamba hauhitajiki baada ya kufanya utafiti huku wakiwa wamepokea maelekezo kutoka...
13 Reactions
129 Replies
10K Views
1. Wakati akitoa ushahidi wake wote Mara kadhaa wakili aliyemuongoza alisita kuendelea kumuuliza na kuanza kuteta chini kwa chini ikionesha Kuna majibu Alitoa nje ya matarajio yao. 2...
52 Reactions
418 Replies
36K Views
Amteua Bw. Jaffar M. Haniu kuwa Mkurugenzi wa mawasiliano ya Raisi (Ikulu)
12 Reactions
347 Replies
54K Views
Nadhani hukujua kuwa wanaCcm kuwa ni watu wabaya na wenye unafiki kiwango cha Phd. Hukufanya kosa lolote kuhoji na kueleza unavyoumia baada ya Rais Samia kukopa pesa kwa ajili ya ujenzi wa...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
UKIUKWAJI NA USHAMBA BUNGENI UKIUKAJI: Lukuvi, Mb na Mwenyekiti wa Kikao cha Bunge cha Uchaguzi wa Spika ameruhusu Wabunge kukiuka Taratibu za Uchaguzi na akatetea ukiukaji huo. Mosi, wakati...
5 Reactions
38 Replies
3K Views
Asalaam Aleykum Mh. M/kiti, Pole na majukumu mazito mnoo uliyo nayo, nami akuombea Dua ya ulinzi na heri katika uongozi wako na maisha yako kw a ujumla. Ila Mheshimiwa ukae ukijua maisha yako...
29 Reactions
129 Replies
7K Views
Ubia katika kuendeleza mji wa Kigamboni NSSF iliiingia ubia na Kampuni ya Azimio Housing Estate.Katika mkataba huo Azimio ilitakiwa kuendeleza ekari 20,000 za ardhi iliyopo Kigamboni ambapo kwa...
8 Reactions
81 Replies
12K Views
Nimefuatilia taarifa zinazosambaa kwamba Zuhura Yunus ni raia wa Uingereza nachelea kuziamini na kama Zina ukweli basi atakuwa ameupata huo Uingereza Kwa Siri sana. Nafasi aliyopewa lazima...
11 Reactions
29 Replies
5K Views
Rais Samia Suluhu ameiagiza Wizara ya Habari kuvifungulia vyombo vya habari vilivyofungiwa, na kuhakikisha vinafuata sheria. Aidha, ameagiza sheria kanuni na adhabu ziwe wazi, ifahamike kosa...
98 Reactions
376 Replies
39K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…