Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,600
- 217,999
Leo tarehe 6/02/2022 Viongozi wa Bavicha Taifa wameshiriki Misa Takatifu katika Kanisa Katoliki , Parokia ya Mafumbo Bukoba Mjini , ambako wameshiriki Kikamilifu kwenye Harambee ya kuchangia Ujenzi wa Kanisa hilo.
Mwenyekiti wa Bavicha Taifa John Pambalu ametoa neno kwa Waamini wenzake kwa kusoma kitabu cha WAFALME WA PILI , SURA YA 7 , MSTARI WA 14.
Ikumbukwe kwamba Vijana wa Bavicha , wako Mjini Bukoba kwa ajili ya Kongamano la Katiba mpya linalofanyika mjini humo siku ya leo .
Mungu ibariki Bavicha.