Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 123,279 Reaction score 98,328 Feb 7, 2022 #1 Wasikilizeni hao vijana wa ccm wanavyo jitapa kutenda maovu. Kama nchi au taifa lazima tukemee matendo ya hovyo kama haya maana ni aibu kwa wananchi. Your browser is not able to display this video.
Wasikilizeni hao vijana wa ccm wanavyo jitapa kutenda maovu. Kama nchi au taifa lazima tukemee matendo ya hovyo kama haya maana ni aibu kwa wananchi. Your browser is not able to display this video.
Billie JF-Expert Member Joined Aug 13, 2011 Posts 13,709 Reaction score 23,149 Feb 7, 2022 #2 Inagoma kufungua natumia App
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 123,279 Reaction score 98,328 Feb 7, 2022 Thread starter #3 Billie said: Inagoma kufungua natumia App Click to expand... Mbona inafunguka mzee?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,851 Reaction score 197,456 Feb 7, 2022 #4 Inasikitisha sana...
T Tardy JF-Expert Member Joined Oct 31, 2021 Posts 1,285 Reaction score 1,611 Feb 8, 2022 #5 Kwa mfumo wa aina ya kauli kama hizo ilitakiwa wasikilizaji wasimame nakuondoka. Mtu anaongea mbele ya umati hivyo,ya sirini mangapi anayatenda halafu anawabambikia wanyonge. Uongozi wa juu wa chama hawajasema neno.
Kwa mfumo wa aina ya kauli kama hizo ilitakiwa wasikilizaji wasimame nakuondoka. Mtu anaongea mbele ya umati hivyo,ya sirini mangapi anayatenda halafu anawabambikia wanyonge. Uongozi wa juu wa chama hawajasema neno.
Pac the Don JF-Expert Member Joined Feb 17, 2021 Posts 7,263 Reaction score 8,690 Feb 8, 2022 #6 Mmawia said: Wasikilizeni hao vijana wa ccm wanavyo jitapa kutenda maovu. Kama nchi au taifa lazima tukemee matendo ya hovyo kama haya maana ni aibu kwa wananchi. View attachment 2111631 Click to expand... Aiseee
Mmawia said: Wasikilizeni hao vijana wa ccm wanavyo jitapa kutenda maovu. Kama nchi au taifa lazima tukemee matendo ya hovyo kama haya maana ni aibu kwa wananchi. View attachment 2111631 Click to expand... Aiseee
Tajiri Kichwa JF-Expert Member Joined Apr 2, 2017 Posts 9,020 Reaction score 22,100 Feb 8, 2022 #7 Ndio wanaita chuo cha kupika uongozi
kikiboxer JF-Expert Member Joined Dec 22, 2017 Posts 4,008 Reaction score 10,777 Feb 8, 2022 #8 Duuh wanaomba police wawa ache😀