Baraka Mina
JF-Expert Member
- Sep 3, 2020
- 581
- 574
Kwema wanabodi? Heri ya mwisho wa wiki kwenu nyote.
Orodha ya wanachama 11 waliojitokeza kuchukua na kurejesha fomu kuomba kuteuliwa na CCM kugombea nafasi ya Naibu Spika ni:
1. Joseph Tadayo ANANIA – Mwanga
2. Abdullah Ali MWINYI – MAHONDA
3. David Mwakiposa KIHENZILE – Mufundi Kusini
4. Dkt. Oscar Ishengoma KIKOYO – Muleba Kusini
5. Dkt. Hamis KIGWANGALA – Nzega Vijijini
6. Musa Azzan ZUNGU - Ilala
7. Samwel Hhayuma XADAY – Hanang’
8. Abubakar Damian ASENGA - Kilombero
9. Stanslaus NYONGO – Maswa Mashariki
10. Timotheo Paul MNZAVA – Korogwe Vijijini
11. Kilumbe Shaban NG’ENDA – Kigoma Mjini
Zoezi la utoaji wa fomu za kugombea nafasi ya Naibu Spika limefanyika kwa siku 3 ndani ya CCM; tarehe 4 - 6 Februari 2022 kuanzia saa 2:00 asubuhi hadi saa 10:00 jioni katika ofisi 03 za Chama; Ofisi Ndogo Dar Es Salaam, Afisi Kuu Zanzibar na Ofisi ya Makao Makuu Dodoma.