Orketeemi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,565
- 14,325
Salama?
Nisiwe na maneno mengi. Rais Samia alikabidhiwa nchi kipindi kigum na cha hatari Sana.
Wengi tulitarajia nchi itamahinda. Just imagine kaipokea nchi kutoka Kwa Rais ambaye aliivuruga nchi vya kutosha, alijifanyia anachotaka na kuwaumiza wengi kadri alivyojisikia.
Rais Samia aliipokea nchi kipindi ambacho pengine wahanga wa Mwendazake walikuwa wengi wengi wengi mno.
Lakini pia Mashabiki Lia Lia wa Mwendazake walikuwa lukuki.
Kilichotokea baada ya Rais Samia kuingia madarakani tuliona wale wahanga wa Mwendazake kisiasa walijaribu kumprovoke Samia Suluhu Hassan but kilichoendelea wote ni mashahid hakuna tena cha Mbowe wala Mdude Chadema.
Haikuwa rahis lakin Leo sote ni mashahidi Rais kaweza kuwaondoa viongozi wengi tu waliokuwa wanamtumikia JPM na si Tanzania. Chalamila out , Sabaya yupo jela na hakuna wa kufanya fyoko. Kwa Rais muoga na asiyejiamin , anayetoka Chama kile kile cha mtanguliz wake angemgusa Sabaya , Chalamila au Chamuriho? , angeanzaje kumgusa Kabudi?
Siku zinazidi kwenda na Mwanamama huyu wa kipekee anazid kuonyesha uwezo mkubwa kiuongoz aliojaaliwa ambao kimsingi hatukuutegemea.
Twende mbele turudi nyuma Rais Samia Suluhu Hassan ni Mwanamama wakipekee haswa.