Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,688
- 140,364
"Sakata la Freeman ni moja kati ya vitu vinavyoniumiza sana, Freeman amenilea, ninavyomuona yupo jela simuoni kama Mwenyekiti wa CHADEMA, namuona kama Kaka yangu, nimefanya jitihada kuhakikisha anatoka Jela na kila nilichofanya kina ruhusa ya Mbowe, nimeenda Jela na nimeongea nae kumuambia nataka kufanya hivi akaniambia fanya"
"Wao wanamuona Mwenyekiti wao yupo Jela Mimi namuona Kaka yangu yupo Jela huo ndio utofauti, Wahariri waulizeni wenzetu wana mikakati gani ya kumtoa Mbowe nje ya Jela, Mimi naamini tulichofanya Dodoma (kumuomba Rais Samia amsamehe Mbowe) isingeleta kelele zilizopigwa, leo tungekuwa na Mbowe nje, naamini hivyo" ———Zitto Kabwe Dar es salaam leo
My Take
Hakika dalali hana aibu. Mbowe alishatamka hahitaji kumpigia magoti au kumlamba matako mtu ili awe huru. Kwa nini unang'ang'aniza kumuombea msamaha? Mbowe sio gaidi unapotaka aombe msamahama unataka iwekwe kumbukumbu kwamba alikiri ugaidi ila akaomba msahama?
Chadema na wafuasi wake pamoja na wapenda haki wengine walishaitaka serikali imuachie Mbowe bila masharti,kwa nini wewe huwaungi mkono?! Ina maana unaamini Mbowe ni gaidi ila aombe msamaha?

Nimefuatilia mazungumzo ya Zitto live akiongea na wahariri wa vyombo vya habari...
Na in fact, kauli yake imetokana na swali aliloulizwa na aliyekuwa Mhariri Mkuu Wa gazeti la Tanzania Daima ndugu Absalom Kibanda...
Na quotation hii uliyoiweka hapa ni maneno exactly aliyoyasema Zitto kuhusu Freeman Mbowe na kesi yake ya ugaidi....
Binafsi nilishangaa sana si kwa sababu aliongea kuhusu Mbowe na masahibu anayoipitia, bali NIA iliyo nyuma ya kauli yake...
Honestly, Zitto hutafuta au hutengeneza migogoro mahali ambapo hakuna ulazima kufanya vile..
Mfano anaposema "...waulizeni hao wenzetu wana mkakati gani kumtoa ndugu Freeman Mbowe gerezani...", kwa hakika mtu yeyete mwenye akili timamu atashindwa kuelewa nini hasa lengo la Zitto....
Kwamba, ina maana yeye Zitto hajui kwamba serikali imemfungulia kesi huyu anayemwita " kaka yake" na kesi hiyo inàendelea mahakamani...?
Kwamba, ina maana yeye Zitto hajui kwamba, katika kesi hiyo hawa CHADEMA wameweka mawakili zaidi ya 20 ili kumtetea mwenyekiti wao kwa mujibu wa sheria..?
Zitto anataka CHADEMA wafanye nini cha ziada ili yeye Zitto na hao wahariri wa vyombo vya habari anaowatuma kwenda CHADEMA kuuliza kujua jitihada wanazofanya kumtoa gerezani ndugu Freeman Mbowe....?
Je, anataka CHADEMA wamwambie kuwa wana mkakati wa kwenda kumtorosha Freeman Mbowe kwa kuvunja kuta za gereza alikowekwa ndiyo atatambua kuwa kumbe CHADEMA wanafanya jitihada kumtoa m/kiti wao...?
Duuh, nimemshangaa sana Zitto kwa kauli yake hii...
Mimi nilidhani kwa political maturity yake, angeweza kujibu kirahisi tu swali lile lililoulizwa na Absalom Kibanda bila kuanzisha mgogoro mwingine kati yake na CHADEMA kwa simply kusema..;
EITHER,
"....Serikali imwachie Mbowe haraka na bila masharti yoyote kwa sababu, MBOWE SI GAIDI..."
OR
"....Sina la kusema, tuiachie mahakama isikilize na kuamua shauri hili..."
Lakini, Zitto anayesifiwa kuwa ni mwerevu na makini, cha ajabu ktk hili amekosa busara ktk kulizungumza mbele ya camera za TV na microphones za media mbalimbali...!