Salamu kwenu.
Naona viongozi wa awamu ya 6 wanaendelea na tabia ya kuitenga mikoa ya Kusini kwenye maeneo mengi tu.
Chief Hangaya yeye amejikita Dodoma, Kanda ya Ziwa, Dar, Kanda ya Kaskazini na...
Hivi mikopo ambayo serikali huchukua kutoka katika taasisi za fedha za kimataifa ni swala la Muungano?
Na kama ni swala la Muungano, tunaweza kupata takwimu za ulipaji wa deni la Taifa tujue kila...
Hiki ni kituko kingine au anaota u-KUB ( Kiongozi wa Upinzani Bungeni). Mhe. Zitto kutangaza Baraza la Mawaziri umetukumbusha tukio la kujiapisha kuwa Rais wa Kenya. Unatangaza Baraza la Mawaziri...
Zitto huu unafki hsutakufikisha popote Wallah nakuapia. Ulisema mwenyewe kua hukumaanisha kwamba ulimuombea Mbowe msamaha kwa Rais isipokuwa CHADEMA walikuelewa vibaya, halafu leo unapigilia...
Habari wana bodi JF!
Habari Moderators JF!
Ninawaomba Moderators topic hii walau iachwe free ili wengi watowe ya moyoni.
Sio siri kwamba Jeshi letu la Polisi nchini limekuwa si kimbilio wala...
Wakuuu Wakati Fulani Chief Hangaya alijinasibu Kwamba Kwenye Hii Awamu anayoiita Ya 6 Hatutasikia Kwamba fedha ya Serikali Imeliwa na Watendaji Wake.
Leo Wakati Akiwa Huko Musoma, M/Kiti wa CCM...
Mbunge wa Tarime vijijini Mwita Waitara amemweleza Rais Samia kuwa miradi yote iliyojengwa wilayani Tarime iko chini ya viwango ilhali Mkurugenzi yuko na Mhandisi yuko.
Mwita amesema Tarime...
Iko hivi:
Wakati wa Kikwete na Mkapa, CCM waliweza kujipima kupitia chaguzi wanakubalika kwa kiasi gani au wanakaliwa kwa kiasi gani katika maeneo tofauti ya nchi yetu na hivyo kujipanga...
Kuna watu wamekuwa wakimsema sana Urio kutokana na ushahidi alioutoa mahakamani, ukweli ni kwamba sio kweli kwamba Luteni Urio ni kihiyo na kilaza kama wengi wanayo fikria isipokuwa nae pia ni...
CCM ina miaka 45 toka kuzaliwa kwake ni chama kikongwe ktk siasa
Najiuliza pamoja na ukongwe wake katika siasa kwanini inaogopa mabadiliko ya katiba mpya?
Mchakato wa katiba mpya ulianzishwa na...
Mbunge wa Kawe Askofu Josephat Mathias Gwajima hujawahi na wala humpendi mpaka hukupenda Rais Samia kuwa Kiongozi hivi leo isipokuwa unachokifanya sasa ni kumpaka tu Mafuta Mama wa Watu kwa Mgongo...
Tuijue gharama ya Ujenzi wa Bomba la Gesi kutoka Mtwara kuja Dar es salaam. Tukimaliza hapo, tuanze kuelewa kwanini Gesi tunaipeleka Kenya.
Gharama za mradi ni Dola za Marekani 1,225,327,000...
Hakika huyu jamaa ni Prophet, kama angeamua kuanzisha kanisa basi asingepungukiwa na wafuasi chini ya buku (1000).
Alianza na Mzee wetu Hayati Magufuli, wafilisti wakamsweka ndani miezi 4 na...
Sikulaumu, na Sina lengo la kukuchafua kamanda DC mpya wa muleba nakuita ni mpya maana huu wizi ninao taka kuonesha ulifanywa 2018 haukuwepo hapo.
Mwaka 2018 halimashauri ya wilaya ya muleba...
Mnamo tarehe 27 Januari 1960 Rais wa Awamu ya Sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan alizaliwa huko Makundichi Zanzibar.
Leo anatimiza umri wa...
Maigizo ya Chadema yako hapa Tu
Wanalaani vikali hatua ya lowassa kukutana na Magufuli kupongeza hatua na kumaliza tofauti za kisiasa, huku wakipongeza tukio ilo ilo Kwa Raila odinga na Uhuru Kenyatta
Halima Mdee baada ya uchaguzi wa Spika Mpya, amesema kuwa nafasi za wabunge 19 waliofukuzwa uanachama CHADEMA ziko salama pamoja na mabadiliko ya Spika.
"Siamini kama nafasi zetu hapa bungeni...
Nimeona kitu kinachofanyika ama sijui ni tanesco ama ni jiji ila kwa namna nilivyoona ni uharibifu
ni kweli inawezekana kwamba miti hii inazuia ama inaleta madhara kwenye nyaya na njia za umeme...
Salamu kwenu wadau!!!
Nchi yetu kupitia jeshi la polisi imeingia dosari kubwa baada ya polisi kuhussishwa na mauaji mengi ya RAIA nchini, hii nikutokana na aidha majukumu yao au ni ishara ya...
Nimeshindwa kuwaelewa Watanzania msimamo wenu uko vipi? Je ni kweli tunajua ni kitu gani tunahitaji au ni yupi tunamtaka.....Yawezekana hata tungeongozwa na Malaika bado lawama haziwezi kukoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.