Pongezi na Shukrani za dhati kwa Wana Jamiiforums Hawa kwa kazi iliyotukuka

DATAZ

JF-Expert Member
May 25, 2012
2,446
5,970
Nyendo
The Sheriff
Replica
Suley2019
Erythrocyte

Katika kesi muhimu inayoendelea ya Ugaidi na Uhujumu Uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Mhe Freeman Mbowe na wenzake. Wenzetu Hawa wamekuwa mstari wa mbele kuujulisha UMMA kinachoendelea.

Watanzania wengi na viongozi akiwemo Mheshimiwa Samia suluhu Hassan, wamekuwa wanafaidika Sana na reporting Yao kwa tukio hili.

Ndugu Hawa Wanajitoa muda wao na raslimali zao kuhakikisha tuna kuwa in touch na kinachojiri Mahakamani.

Kesi Kama hizi Ni muhimu both for public information na academics.
Naamini hata viongozi wetu walio wengi akiwemo Mheshimiwa Raisi wameanza au wataanza kuona umuhimu wa matukio Kama haya kuwa live. People ought to know what is happening in their nation.

Hakuna Cha Siri wala ajabu katika hili maana wenzetu Kenya Wana utaratibu huu na hata Mahakama za Kimataifa Kama ICC pia wana utaratibu huo, South Africa nk. Hivyo hata hapa inawezekana.

After all it is a requirement in our laws that the courts should be open courts.

Hongereni members wenzetu hapo juu kwa kazi nzuri.
 
Binafsi nitawatambua kama wazalendo halisi wanao wezeshwa na wazalendo halisi na wakweli ndani ya taifa letu pendwa Tanzania, Jamiiforums💪.
 
Back
Top Bottom