Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Abuu Islam Utangulizi: Baraza jipya la mawaziri alilolitangaza Rais Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi, Januari 8, 2022 limeshtua wengi. Vigogo, wakiwemo walioibuka katika awamu ya awamu ya...
20 Reactions
36 Replies
4K Views
Mbunge wa jimbo la Sengerema mh Khamis Tabasamu amemtumia video Rais Samia Suluhu inayoonyesha ufisadi wa zaidi ya millioni 700 zilizotolewa kwa ajili ya ujenzi wa jengo la halimashauri hiyo...
5 Reactions
75 Replies
7K Views
Nilikuwa sielewi ule usemi wa sharia ni msumeno unakata ukienda na unakata ukirudi au unakata kote kote, sasa nimeelewa kumbe msumeno pia unakata nje hata ndani. Tanazania inazidi kujipambanua...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimeshangaa sana kwa msimamo wa mama na team nzima ilivyobadili gia angani. Sawa Hayati hakugusa maisha ya kila mtu na alisema hajaja kuuza sura, kama mbovu iwe mbovu kama hukua upande wake basi...
43 Reactions
115 Replies
8K Views
Hii ni Pongezi kwa Kurugenzi ya Habari ya Rais, lakini natambua umuhimu wa Kiswahili. Nashauri wale mliokua allergic na English toka awamu ya 5 basi piteni tu. Leo baada ya miaka mingi tumeona...
7 Reactions
27 Replies
3K Views
Miaka 45 ya CCM ni tumaini na imani ya umoja wa kitaifa kwa Watanzania Deogratias Mutungi Hii ni tafakuri fupi inayomulika kipindi cha miaka 45 ya Chama cha mapinduzi CCM katika uongozi wa...
0 Reactions
0 Replies
743 Views
Mahakama ya Tanzania Sijui imekosa nguvu Kwa sababu ya chama au Kwa sababu ya serikali au Jaji mkuu ameshindwa kuwapa Imani waliopo chini yake? Raia anaitwa na Mahakama yupo Kigamboni au Masaki...
17 Reactions
69 Replies
7K Views
Wakuu kiukweli wako watu ambao wamebarikiwa ushawishi nchini Tanzania , miongoni mwao ni huyu Mwenyekiti wa Chadema aliyeshikiliwa jela kwa zaidi ya siku 200 , na kwa hakika watu kama hawa humu...
27 Reactions
44 Replies
4K Views
Habari Wakuu, Leo tena shahidi wa 12 Denis Urio anaendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki: Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi...
84 Reactions
609 Replies
119K Views
Waziri wa Nishati, January Makamba amelielekeza Shirika la Umeme (TANESCO) kuhakikisha kwamba pamoja na kadhia ya umeme inayoendelea, Shirika hilo lisijiingize kwenye kukodi mitambo ya dharura...
10 Reactions
45 Replies
6K Views
Kumekuwa na mgogoro mkali wa kibiashara hasa ya Parachichi baina ya Tanzania na Afrika ya Kusini uliodumu kwa mwongo mzima(miaka kumi) sasa bila muafaka wowote. Mtakumbuka February, 2021 kabla...
19 Reactions
144 Replies
13K Views
1. Wakati Zanzibar hakuna hata soko moja lililoungua huku Tanzania bara masoko manne ya wanyonge yameshaungua na yakiungua unatangazwa ujenzi wa soko jipya ambalo wakubwa watajimilikishia vizimba...
14 Reactions
113 Replies
6K Views
Mabibi na mabwana si busara sana kuukimbia ukweli. Ukweli ni mchungu na msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Au nasema uongo ndugu zangu? Kumekuwa na mengi kuhusu ACT na Maalim Seif hasa baada ya...
6 Reactions
41 Replies
5K Views
Kibatala: Unafahamu hiyo namba hapo Shahidi: naona Meseji Kwenda Kwa Mbowe tu Kibatala: Kwani Meseji hiyo Uliyotuma hiyo Meseji Kwenda Kwa Mbowe, Je ni Namba ipi ya simu Shahidi: Nilitumia...
33 Reactions
138 Replies
19K Views
Alianza na mkataba wa bil takribani 70 ambao Tanesco iliingia mkataba na Mahindra tech ya India kwa ajili ya kukodi software ambayo itafanya shughuli za Tanesco ziwe za kidigitali na kuongeza...
43 Reactions
168 Replies
11K Views
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa jumla ya TZS 300BL kwaajili ya kukamilisha safari ya Serikali kuhamia Jijini Dodoma, Waziri mkuu wa Tanzania Majaliwa Khasim Majaliwa amesema jumla ya...
17 Reactions
127 Replies
9K Views
Pia, soma: Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya
7 Reactions
52 Replies
7K Views
Msanii wa kizazi kipya Ras Mtimanyongo anasema tuombe Jah atupe uzima ili 2030 tumshuhudie Magufuli mwingine akitokea ama CCM au Upinzani Ras anasema safari aliyoianzisha Magufuli ni lazima...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Habarini ndugu zangu wa Tanzania. Naomba nikiri kwanza kabisa mimi sio mwandishi mzuri hivyo kama nitakua nimeenda tofauti kidogo nipo tayari kurekebishwa. Mimi sio mwanasiasa na wala sio...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, amezua utata wa mavazi aliyovaa wakati akipewa heshima ya jeshi la polisi (saluti) wengi wakisema ni kama dharau kwa askari, Maofisa na Jeshi hilo la polisi. RC...
15 Reactions
235 Replies
43K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…