Ziara ya Sekretarieti ya Chama kwa Mikoa ya Zanzibar

ACT Wazalendo

JF-Expert Member
May 5, 2014
602
1,526
ZIARA YA SEKRETARIETI YA CHAMA KWA MIKOA YA ZANZIBAR.

Leo tarehe 19/02/2022, Kaimu Naibu Katibu Zanzibar, Ndugu Salim Bimani ameongoza ujumbe wa Kamati ya Mashauriano ya Zanzibar ambayo ni Sehemu ya Sekretariati ya Chama Taifa katika ziara Maalum ya Kichama.

Ziara hii ina lengo la Kutekeleza azimio la Mkutano Mkuu Maalum wa Chama uliofanyika tarehe 29/01/2022. Kwamba mwaka 2022 ni Mwaka wa Kujenga Chama. Ziara hii imeanza kwa kuitembelea Mkoawa Magharibi B Kichama Zanzibar.

IMG-20220219-WA0010.jpg
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom