No easy walk to freedom: Mbowe na wenzake ni victims kama kina Mandela na wengineo

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,998
144,333
Wanayopitia Mbowe na wenzake yanaweza kuelezewa na maneno haya ya machache ya Hayati Nelson Mandela.

Historia haijurudii, bali watu ndio hujirudia(Mandela amejirudia na safari hii ni hapa nchini kwetu Tanzania).

Soma hii:

‘There is no easy walk to freedom anywhere and many of us will have to pass through the valley of the shadow of death again and again before we reach the mountain tops of our desires.’

After twenty-seven years in prison, Nelson Mandela finally walked free in February 1990. This collection of his articles, speeches, letters from underground, and the transcripts from his trials, vividly demonstrate the charisma and determination of a towering figure in the struggle for racial equality in South Africa. Now in a new edition, No Easy Walk to Freedom is both a vital historical document, and a chronicle of the life and thoughts of one of the greatest campaigners for freedom the world has known.
 
Huyu gaidi mtoza wabunge ushuru na kupeleka kusikojulikana Leo alinganishwe na Mandela? Labda Hawa akina Mandela waliozagaa mitaani.
 
Back
Top Bottom