Alichofanya Tundu Lissu, ndicho alichofanya Zitto Kabwe, kwa Rais Samia

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,933
32,341
Wanaukumbi.

Tundu Lissu, ameomba kukutana na Raia Samia moja ya ombi ilikuwa ni suala la Freeman Mbowe, alimalise Mbowe atoke jela, ombi hilo ndiyo aliomba Zitto Kabwe, kwa Rais Samia lakini alishambuliwa na wafuasi wa Chadema utadhani kafanya kosa la jinai.

Tundu Lissu, huyu huyu aliyesema Chadema hamtokutana na Mama Samia mpaka Mbowe aachiwe bila masharti.

Wafuasi wa Chadema walivyokuwa wanafiki wanamsifia Tundu Lissu.

Lissu kawapiga changa la macho wenzake Kwenye spesi anawaambia hakuna kukutana na Mama Samia mpaka Mbowe aachiwe, kumbe faraghani anaomba poo. Lissu kafanya maamuzi peke yake bila kuwashirikisha wenzake.
 
Wanaukumbi.

Tundu Lissu, ameomba kukutana na Raia Samia moja ya ombi ilikuwa ni suala la Freeman Mbowe, alimalise Mbowe atoke jela, ombi hilo ndiyo aliomba Zitto Kabwe, kwa Rais Samia lakini alishambuliwa na wafuasi wa Chadema utadhani kafanya kosa la jinai.

Tundu Lissu, huyu huyu aliyesema Chadema hamtokutana na Mama Samia mpaka Mbowe aachiwe bila masharti.

Wafuasi wa Chadema walivyokuwa wanafiki wanamsifia Tundu Lissu.
Jibu ni kwamba Tundu Lissu ni mwanafamilia wa Mbowe so anaweza kupresent msimamo wa familia kuliko mamluki kama Zitto kuingilia suala hilo lisilomuhusu,hatujui msimamo wa CHADEMA inside kuhusu suala hili ni nini lakini inamake sense mwanafamilia akiongelea jambo linalohusu familia kuliko stranger from nowhere ambaye hachelewi kubadilika...
 
Wanaukumbi.

Tundu Lissu, ameomba kukutana na Raia Samia moja ya ombi ilikuwa ni suala la Freeman Mbowe, alimalise Mbowe atoke jela, ombi hilo ndiyo aliomba Zitto Kabwe, kwa Rais Samia lakini alishambuliwa na wafuasi wa Chadema utadhani kafanya kosa la jinai.

Tundu Lissu, huyu huyu aliyesema Chadema hamtokutana na Mama Samia mpaka Mbowe aachiwe bila masharti.

Wafuasi wa Chadema walivyokuwa wanafiki wanamsifia Tundu Lissu.
Unatesekea ukiwa wapi? Take you time.
 
Short and clear
 
Wewee! Angalia maudhui ya kile ambacho Lissu anakizungumzia na kile ambacho Zito alikifanya kinafiki ili kutafuta kiki za kisiasa. CDM huwa hawa utaratibu wa kujipendekeza, wao lugha yao siku zote ni kutafuta maridhiano.

Hii ni lugha ya "win loose situation" yaani kila pande husika huwa na kitu cha kupata pia na cha kupoteza ili pande husika zifikie makubaliani. Lakini ile lugha ya Zito ilikosa sifa zote za maridhiano, zaidi ya kutaka kujipendekeza ili kutafuta huruma kutoka kwa ule upande dhalimu.
 
Wanaukumbi.

Tundu Lissu, ameomba kukutana na Raia Samia moja ya ombi ilikuwa ni suala la Freeman Mbowe, alimalise Mbowe atoke jela, ombi hilo ndiyo aliomba Zitto Kabwe, kwa Rais Samia lakini alishambuliwa na wafuasi wa Chadema utadhani kafanya kosa la jinai.

Tundu Lissu, huyu huyu aliyesema Chadema hamtokutana na Mama Samia mpaka Mbowe aachiwe bila masharti.

Wafuasi wa Chadema walivyokuwa wanafiki wanamsifia Tundu Lissu.
Weka ushaidi wa maneno aliyotamka TL,acha porojo
 
Wanaukumbi.

Tundu Lissu, ameomba kukutana na Raia Samia moja ya ombi ilikuwa ni suala la Freeman Mbowe, alimalise Mbowe atoke jela, ombi hilo ndiyo aliomba Zitto Kabwe, kwa Rais Samia lakini alishambuliwa na wafuasi wa Chadema utadhani kafanya kosa la jinai.

Tundu Lissu, huyu huyu aliyesema Chadema hamtokutana na Mama Samia mpaka Mbowe aachiwe bila masharti.

Wafuasi wa Chadema walivyokuwa wanafiki wanamsifia Tundu Lissu.
Mkuu siku hizi unakula kitimoto ? maana unaonekana kama umechangamka kidogo
 
Wanaukumbi.

Tundu Lissu, ameomba kukutana na Raia Samia moja ya ombi ilikuwa ni suala la Freeman Mbowe, alimalise Mbowe atoke jela, ombi hilo ndiyo aliomba Zitto Kabwe, kwa Rais Samia lakini alishambuliwa na wafuasi wa Chadema utadhani kafanya kosa la jinai.

Tundu Lissu, huyu huyu aliyesema Chadema hamtokutana na Mama Samia mpaka Mbowe aachiwe bila masharti.

Wafuasi wa Chadema walivyokuwa wanafiki wanamsifia Tundu Lissu.

Kwa hiyo Shikh Ritz unajaribu kusema wazi kuwa Lissu amemuombea msamaha Mbowe ili Samia amuachie huru?
 
Back
Top Bottom