Maalim Seif alivyoenda kuonana na Magufuli CHADEMA walimsema sana maalim seif na kumuita msaliti na MNAFIKI wa demokrasia na wa vyama vya Upinzani Tanzania., lakini mbona Style aliyoonana Maalim Seif na Magufuli ndiyo Style ile ile ya Tundu Lissu Brussels kule Belgium aliyoomba mwenyewe kukutana na Mama?
Je, Tundu Lissu ni msaliti? ni Mnafiki? amepetikiwa na kusahau alivyokuwa akimnanga maalim Seif kukutana na Magufuli Ikulu? au tuseme ulikuwa ni wivu kwa vile wao walikuwa hawajapata ile nafasi?
CHADEMA hawa tuwajuwao ndio kweli? Hivi macho ya Watanzania na upinzani kwa ujumla yana giza kiasi gani kuona kitendo hicho hicho kinafanywa na kiongozi mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ndio kile alichoma Maalim Seif? - What a coincidence!
Naomba kutanguliza shukurani.