Ziara ya Rais Samia: Namshauri Mkurugenzi wa Wilaya ya Geita kufanya haya...

Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
2,056
2,515
Nimesoma mahali kuwa Mhe. Rais kesho tarehe 22.2.2022 atatembelea Mkoa wa Geita a wakati yuko ziarani Mara alikupa salamu kuwa na wewe unaweza kuwa kati ya wale Wakurugenzi wenzako waliotumbuliwa.

Nakushauri utayarishe taarifa iliyo na takwimu halisi, gharama ya ujenzi wa kila darasa, zahanati n.k. ili taarifa mbaya aliyokutolea Mhe. Mbunge wako uonekane kuwa ni taarifa ya majungu.

Uwe smart wala usiogope kusema kila kila kitu kuhusu Mbunge wako ambavyo anaingilia utendaji wenu wa Halmashauri yako. Nakutakia kazi njema Mkurugenzi Wanga.
 
Joseph Kasheku a.k.a Msukuma (PhD)

Namuheshimu sana Mwenyekiti mmoja anapoendesha Bunge humuita Msukuma "muheshimiwa" sio hao wengine wanaodhalilisha taaluma za watu na kumuita "DR" !! Muiteni muheshimiwa tu sio kwa hiyo degree ya mchongo!!
 
Kwa hyo huku mbeya songea Lind mtwara rukwa haji

Kanda ya ziwa anaenda Tena wakat kuna mikoa kibao hajatembelea?

Kuna haja ya watu wa mikoa tajwa Hapo uu tuungane tujitenge na nchi hii tuanzishe nchi yetu
 
Back
Top Bottom