Wakuu,
Mbunge wa kuteuliwa na mtunga Sheria Humphrey Polepole, anadai hii awamu ya rais Samia sio awamu ya sita.
Rais Samia alisema yeye ndiye rais ya awamu ya Sita. Kwamba ni awamu ya sita...
Rais Samia Hassan Suluhu amesema Wakurugenzi wa halmashauri walikuwa kwenye kipindi cha matazamio (probation) cha miezi sita ambayo inakamilika 18/02/2022.
Rais Samia amesema baada ya tarehe hiyo...
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan atakuwa Mgeni rasmi kwenye Maadhimisho ya Jubilee ya miaka 25 ya Mhashamu Askofu Severine Niwemugizi yatakayofanyika kwenye Viwanja vya Posta- Ngara Mjini...
Ni rasmi sasa kila mmoja anatambua kuwa Freeman Mbowe yupo gerezani akipambana kwenye kesi inayomkabili.
Hata hivyo tangu Mbowe amekamatwa ,harakati za mapambano na hekaheka za Chadema kuendesha...
HOTUBA MBELE YA MGENI MAALUM RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWENYE SHEREHE YA JUBILEI YA MIAKA 25 YA UASKOFU, TAREHE 22 FEBRUARI 2022, NGARA
Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya...
Hili swali nimekuwa nikijiuliza ikiwa ni lazima au ni busara kiongozi kufuatana au kuambatana na mwenza wake akiwa kwenye shughuli muhimu za kitaifa ndani na nje ya nchi, hili ni jambo la busara...
Mwenyekiti wa ACT Wazalendo mzee Juma Duni Haji amesema mzee Mandela alisema hakuna fursa nzuri ya kisiasa kama ile ya kukaa na mpinzani wako na kumueleza ukweli huku unamuangalia machoni.
Hivyo...
Picha: Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, David Kafulila mwanzoni kulia
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, David Kafulila ameagiza kupata maelezo ya kina juu ya hatua zilizochukuliwa na Jeshi la Polisi dhidi ya...
Hii sheria ya dhamana kwa washtakiwa ni vema ikafanyiwa marekebisho ili isiendelee kuumiza watu wasiostahili.
Nikuombe mbunge Babu Tale peleka joja binafsi bungeni mlijadili hili.
Mathalani mzee...
Kama alivyokuwa Mobutu Seseko na Rais wengine wa Afrika, Wazungu ukiwapa access na resource zako, ukifanya vyote wanavyotaka kamwe hawatakutoa madarakani, hii ndiyo Afrika ilivyo.
Sie tunajua...
Picha: Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la Chadema, Hashimu Juma
Mkurugenzi wa Mashitaka nchini Tanzania (DPP), Sylvester Mwakitalu leo amemuomdolea mashitaka ya uchochezi yaliyokuwa yanamkabili...
Inasemekana kuchelewa kurejea nchini kwa makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu kulipangwa kimkakati zaidi ili aendelee kuwasiliana na wafadhili wa Ulaya akiwa karibu nao.
Kazi yake...
Hope mko poa wakuu, hii habari sio maneno yangu, ni siri iliyotobolewa na mjumbe wa kamati kuu ya Chadema, Godbless Lema.
Lema amesema kuna waziri ndani ya serikali ya SSH, alienda gerezani...
Niulize swali hili ni kwa wanachama wote wa ACT-wazalendo wenye mawazo mema na taifa hili kama taasisi, hivi ni kweli mnakubaliana na ulaghai wa anakifanya bosi wenu? Yaani vyama vyote vikubwa...
MAHAKAMA ya Mkoa wa Lindi, imewahukumu wanachama wanne kati ya sita wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutumikia kifungo cha miaka nane kila mmoja, baada ya kupatikana na hatia ya...
Nazungumzia uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 na uchaguzi mkuu wa 2020 mbinu alizotumia Mwenyekiti pekee mwanasayansi kukipa chama chake ushindi kama asingezitumia CCM wangepoteana.
Hivyo CCM...
Marekani ya kabidhi misaada kwa serikali ya Tanzania TZS 497,559,000 kwa ajili ya huduma za afya katika Jeshi la Polisi Tanzania na Jeshi la Magereza Tanzania pamoja na vituo vya afya vilivyo...
Meli zote tatu zinazotoa Huduma katika ziwa Nyasa zimeharibika na meneja wa TPA amesema matengenezo yanasubiri kwanza tathmini kutoka Shirika la Bima la taifa (NIC)
Naye Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mh...
Mwalimu Nyerere, wakati wa Urais wake, kati ya vitu alivyowahi kukemea kabisa ni kumtukuza. Alikataa kuitwa MTUKUFU RAIS, alikataa kuitwa MHESHIMIWA.
Mwalimu wakati wote wa uhai wake, na wakati...
Ni kweli, anasakamwa lakini sipati picha Ndugai akiamua na yeye kuwa liwalo na liwe!
Ki vyovyote vile bado naona Ndugai ana kura ya turufu katika sakata hilo linalovuma.
Ndugai anayo mengi...