Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni mara mia uwe Mkuu wa Wilaya kuliko kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya, japokuwa DC hana miradi na fedha hazipitii kwake. Ukiwa DED hulali vizuri, una watumishi wengi , una miradi mingi...
7 Reactions
24 Replies
4K Views
Hawa viongozi au Marais wawili Rais Samia (Chifu Hangaya) na Rais Hussein, kwa kweli sijaona jipya ambalo litamtufaisha raia, nikimaanisha vijana na wazee kuajiriwa. Kama kuna mtu analijua...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
PEPO MCHAFU KATIKATI YA MTU MWEMA Ukisoma Katika Biblia Kitabu cha Mathayo 2 Utakutana na Mtu mmoja aloyeitwa Herode. Wakati Mungu akiwa na Mipango yake Hakuna mtu yeyote anaweza Kuzuia. Herode...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Tutaanza sasa Kuwahisi kuwa huenda hamtaki / hampendi Kukaa Tanzania mliko na Wajibu nako na mnataka kuwa Angani 24/7 kwani Tanzania inanuka na Watanzania tunanuka vile vile. Na hata pia Kiafya...
2 Reactions
3 Replies
732 Views
Wadau wote ni mashahidi CCM ina vyuo vya uongozi toka enzi ya hayati baba wa taifa. Vyuo hivyo ilikuwa ni kuandaa viongozi wa kushika nyadhifa mbalimbali kama vile u-DC n.K Siku hizi utaratibu...
11 Reactions
27 Replies
2K Views
Ukweli lazima usemwe. Bunge hili la sasa limepatikana kimagumashi sana. Ni zao la 'uchafuzi mkuu' wa mwaka 2020. Wapo Wabunge waliopita bila kupingwa kutokana na sarakasi zilizochezwa na CCM yetu...
16 Reactions
29 Replies
2K Views
Hotuba ya Rais Benjamin Mkapa Harvard University Sept 15, 1999. Pamoja na kuhutubia Rais Mkapa alijibu maswali toka kwa wanajumuiya ya Harvard.
11 Reactions
95 Replies
8K Views
Na Bwanku M Bwanku. Jana Jumatano Februari 23, 2022 kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 6 nimechambua hatua ya Jarida kubwa la Marekani la Inside the Nation kumtaja Rais Samia kama Rais...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
TANZANIA kama ilivyo kwa Bara la Afrika ni miongoni mwa nchi zenye uchumi unaokua kwa kasi. Inakadiriwa kwamba kati ya mwaka 2012 mpaka 2017 katika nchi kumi zenye uchumi unaokua kwa kasi zaidi...
15 Reactions
93 Replies
9K Views
Siku chache baada ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kuwasilisha bungeni taarifa yake ya utekelezaji wa shughuli kwa mwaka 2021/2022 ilieleza kuwa Shirika la Ndege la Tanzania limepata...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Ni ushauri tu kwa sababu CHADEMA wana mtindo wa kukurupuka dakika za mwisho hatimaye wanatuletea mara Lowassa au Nyalandu. Sasa Tundu Lisu ameshasema mapema kabisa kwamba hana pass ya kusafiria...
5 Reactions
55 Replies
4K Views
kitu ambacho nchi nyingi ukiona mmoja kumbeba mwenzake basi ni hizi sehemu mbili ambazo zina lindana kwa sababu zao binafsi. hizi sehemu mbili zikitenganishwa na kuwa azifungamani kushirikiana...
0 Reactions
2 Replies
787 Views
“Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan hakukodi ndege ya Emirates wakati wa safari yake ya kwenda na kurudi Ufaransa na Ubelgiji. Mhe. Rais alisafiri kwa kutumia ndege hizo kama abiria. Ameokoa fedha...
10 Reactions
83 Replies
8K Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni,imeahirisha kesi ya jinai namba 1/2022, dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda,hadi Februari 8. Kuahirishwa kwa kesi hiyo kunatokana na...
17 Reactions
178 Replies
19K Views
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Chadema kwa sasa, ambapo watu wasiofahamika wakiwa na bunduki wamemchukua Mzee Hashimu Issa nyumbani kwake Unguja na kuondoka naye, tena bila kusema wanampeleka wapi...
21 Reactions
210 Replies
22K Views
Amesema yeye aliomba kazi kuwatumikia wanyonge na siyo watu wa ulaya. Eti ulaya anaifahamu sana. Hivyo wanaotaka asafiri nje ya nchi watasubiri sana!
3 Reactions
69 Replies
10K Views
Jambo hili baya limetokea leo kwenye viunga vya Mahakama ya Kisutu , ambapo Mwenyekiti wa Bazecha Mzee Hashim Juma alifika kwa ajili ya kuendelea na kesi yake iliyoitwa ya Uchochezi . Hata hivyo...
3 Reactions
45 Replies
4K Views
Kwanza Kabisa Nitoe Pole Kwa Watanzania Wote na Wapenda Maendeleo wote kwa Kuondokewa na Rais Wetu Mpendwa John Joseph Magufuli. Kwa Tamaduni za Kitanzania Si Vizuri kumuongelea Marehemu kwa...
28 Reactions
110 Replies
15K Views
Back
Top Bottom