johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,869
- 141,804
Nazungumzia uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 na uchaguzi mkuu wa 2020 mbinu alizotumia Mwenyekiti pekee mwanasayansi kukipa chama chake ushindi kama asingezitumia CCM wangepoteana.
Hivyo CCM isibweteke na kujiamini kwamba inapendwa na wananchi kwa 84% ni kweli katika uchaguzi wa kisayansi inapendwa sana tena mno lakini katika fair election habari inaweza kuwa tofauti kabisa kabisa yaani.
Hivyo nawasihi wana CCM wazingatie kuwa silaha yao kubwa ni Umoja na siyo vinginevyo. Watu wenye ushawishi wanazidi kupungua CCM kutokana na uzee na wengine kufa na ingizo jipya la vijana ndio halina mvuto kabisa kwa sababu Vijana makini hawavutiwi na siasa hivyo wale " chawa" ndio wanakibeba chama kwa sasa.
Maendeleo hayana vyama!