Spika Ndugai: Jimboni kwangu Kongwa umeme unakatika mara 30 kwa siku!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,975
Hiki ni kilio cha mbunge wa Kongwa ambaye pia ndio Spika wa bunge la JMT mh Ndugai.

Tanesco heshimuni maeneo wanayotoka viongozi wakuu, hayo ni maoni yangu!

---
KONGWA UMEME ULIKUWA UNAKATIKA MARA 30

“Kuna wakati kule Kongwa umeme unakatika mara 30 kwa siku moja au zaidi, yani ni kitu cha kawaida umeme kukatika sasa lazima tutoke huko na jukumu hili ni la kwako pia (January Makamba) na hatuwezi Kuwa na maendeleo bila Nishati. - Spika, Ndugai.

Ndugai.jpg
 
Hiyo kauli ya 30 times sio ya kweli, sina hakika Kama anaweza kuthibitisha. Sio Siri Tanesco wanapambana.
 
Hiki ni kilio cha mbunge wa Kongwa ambaye pia ndio Spika wa bunge la JMT mh Ndugai.

Tanesco heshimuni maeneo wanayotoka viongozi wakuu, hayo ni maoni yangu!
Ndiyo maana nasema akili ya Mwafrica bado sana. Sasa huyu ni Spika anatulalamikia sisi ili tufanyeje?
 
Analalamika ili iweje wakati yeye kama spika anaongoza bunge ambalo limeshindwa kusimamia Serikali. Bunge la kudemka
 
Back
Top Bottom