Chadema karibuni Rufiji/Mloka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema karibuni Rufiji/Mloka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by combra, May 28, 2012.

 1. combra

  combra Senior Member

  #1
  May 28, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 127
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Huku Rufiji jiji cha Mloka kuna vyama viwili tu vinavyojulika (ccm na cuf) chadema hawakijui,Ila wananchi wa Mloka wamechoka na vyama hivyo wanaisubiri kwa hamu M4c ifike huku.Fanyeni hima viongozi wa chadema mje mloka mnasubiriwa kwa hamu mje kufungua tawi.wanachama ni wengi sana
   
 2. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Ngoja tukitoka mtwara na Lindi tutapitia
   
 3. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #3
  May 28, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mkuu kwa kuwa wewe upo huko na nimwenyeji huko si vibaya ukaanzisha harakati kwa kutoa elimi ya uraia kwa wanakijiji, halafu uanze mchakato wa kuanzisha tawi.
  Unaweza kuwasiliana na viongozi wakuu kwa chadema kwa msaada zaidi.
  Wengi wamo humu, watakueleza cha kufanya. Lakini mkiwa watu kuanzia 30 mnaweza kuanzisha tawi dogo la chadema.
   
 4. h

  hans79 JF-Expert Member

  #4
  May 28, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Unaanzisha harafu viongozi watakuja kufungua tawi, wakati wa mabadiliko hutakiwi kumsubiri kiongozi.
   
 5. A

  Aristides Pastory JF-Expert Member

  #5
  May 28, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 348
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hongereni wanarufiji kwa kujitambua...

  Endeleeni kukusanyana hivyo hivyo mkipeana elimu ya uraia....

  Muda wa mabadiliko ni sasa!
   
 6. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #6
  May 28, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  una uhakika? Kwenye mapambano atutaki ahadi za ndio mzee
   
 7. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #7
  May 28, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Mwanzisha uzi, toa elimu ya uraia, andikisheni majina watu 30 muanzishe tawi dogo! Kila watu 30 mnaanzisha tawi dogo! yakifika matawi madogo 10 mnaweza kuanzisha tawi kubwa. Usisahau kuwapigia makamanda kwa taarifa zingine za utaribu wa namna ya kupata vitendea kazi kama card na bendera. Kila la kheri!! Msingoje makamanda hadi waje! wajibika
   
Loading...