Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,398
- 2,990
Wapo wachumi wengi mashuhuri duniani ambao wamefanya tafiti juu ya impact of foreign aid on economic growth. Wamefanya hivyo kwa kuangalia data za kipindi kirefu. Kwa mfano, wapo walioangalia data za takribani decades tatu (kuanzia miaka ya 1960s mpaka miaka ya 1990s). Many economists noticed that an influx of foreign aid did not seem to produce economic growth in countries around the world.
Specifically, in analyzing the data from Africa, they noticed that, even as the level of foreign aid into Africa soared through the 1980s and 1990s, African economies were doing worse than ever, as the chart below, from a paper by economist Bill Easterly of New York University, shows.
Chief Hangaya lazima awe mkweli kwa Watanzania. Development starts with an ability to do things on your own. If you don’t unlock and nurture this ability, there’s no such thing as developing. Utegemezi wa misaada haukutusaidia hapo kabla na hautatusaidia kipindi hiki. We cannot afford to be full-time beggars. Uombaomba sio kitu cha kujivunia wala kusherehekea. Ni kosa kubwa kuwaaminisha Watanzania kwamba, bila misaada, hatuwezi kuendelea. Tafiti hazioneshi hivyo!
What differentiates rich people from poor ones is the ability to make money, not the ability to spend money. Watanzania lazima tuukubali ukweli mchungu kwamba foreign aid money won’t help us buy economic growth.
Kitu kingine ambacho hao wachumi walikiona, kwa kuangalia data za kuanzia 1970 mpaka 2008, ni kwamba nchi zenye resources lukuki ndiyo nchi zenye slower growth kuliko zenye resources kidogo (as the chart below shows).
Zipo nadharia kadhaa kuelezea hali hii ambayo watafiti wameiita “natural resource curse”. Moja ya hizo nadharia ni migogoro isiyoisha. Inaaminika kwamba migogoro mingi hufadhiliwa (kwa njia moja au nyingine) na mataifa yaleyale vinara wa kutoa foreign aid. Looting by those foreign powers becomes easier when resource-rich countries are embroiled in civil wars!
Nimalize kwa kusema, short-term political scores za kuwasaidia wanasiasa kubaki madarakani ni mzigo mzito kwa vizazi vya taifa hili na vya Africa kwa ujumla. Ni rai yangu kwamba wanasiasa waache ubinafsi wao kwa manufaa ya vizazi vya sasa na vijavyo!