Rostam Aziz anunua asilimia 31.5 ya Williason Diamonds (Mwadui)

babu M

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
5,221
3,167
Caspian Limited imefikia makubaliano na Kampuni ya South Africa Petra Diamonds ya kununua asilimia 31.5 ya hisa za Williamson Diamonds Limited(WDL) kwa thamani ya dola za Kimarekani million 15.

Caspian Limited ambaye ni technical services contractor wa WDL wamefikia makubaliano mwishoni mwa mwaka jana kama malipo ya malimbikizo ya madeni ya huduma (technical services) na huduma wanayotoa kwa Petra Diamonds Limited.

Petra Diamonds ilikuwa inamilikia asilimia 75 na serikali ya Tanzania asilimia 25.

Rostam Aziz ambaye ni Mwenyekiti na mmiliki wa Caspian Limited alisema:

“Caspian is a wholly Tanzanian owned company. It is also Tanzania’s largest mining contractor with over 30 years mining related experience. We have been the contractor of choice to most mines in Tanzania and have maintained long and successful relationships with companies such as Petra, De Beers, Barrick and AngloGold Ashanti. In addition, we also own the largest fleet of mining equipment in Tanzania. As a company, we are committed to adopting and adhering to the latest internationally recognised standards throughout all aspects of our business. “We have been contracting at the Williamson Mine, the largest kimberlite diamond mine in the world by surface area for close to 20 years and as such we are particularly pleased to enter into this next phase of our involvement at the mine as co-owners. We recognise its viability in providing sustainable employment and a significant contribution to the Tanzanian economy.”

Source: Reuters
 
Bora wafaidike wazawa kuliko makaburu wa south africa.

Ila Watanzania tulivyo na asili ya roho mbaya na upumbavu wa kiwango cha lami, lazima watu waanze kutoa kasoro ununuzi huu. Wataona bora hao makaburu waliokuwa wanatuma ndege private ndani ya mgodi na kusafirisha almasi kwenda South Africa kimya kimya.
 
Kumbe Rostam Aziz ni Mzawa mwenzetu! Nilijua ni Mtanzania mwenye asili ya India.
Nilifuatilia history yake, ni mtanzania wa kuzaliwa (by birth), mzawa wa wilaya ya igunga vijijini huko, mkoani tabora. Na ndio aliposomea shule na kukulia. Na alikua kichwa sana darasani mpaka kufikia alitoa A pekee ya hisabati tabora nzima NACTE darasa la 7 na form 4 kipindi hicho.

Aliproceed mpaka kusoma chuo Oxford University (UK) maswala ya uchumi na biashara. Na aliwaburuza kweli kweli. Then akaingia kwenye siasa na kugombea Ubunge hapo hapo Wilaya ya Igunga.

Mnyamwezi wa tabora huyo
 
Petra Diamonds ilikuwa inamilikia asilimia 75 na serikali ya Tanzania asilimia 25.
Upuuzi unaanzia hapa, Hii Mitaji Urithi tuliachiwa na wazee wetu na sisi inaobidi tuwaachie taifa la kesho hizi ni asilimia chache sana kwa Nchi kumiliki, kutokana na value ya hizi minings ingekuwa the other way Wananchi 75 na hao jamaa 25; Ukizingatia haya madude hayaozi
 
thinkstupid.png
 
Bora wafaidike wazawa kuliko makaburu wa south africa.

Ila watanzania tulivo na asili ya roho mbaya na upumbavu wa kiwango cha lami, lazima watu waanze kutoa kasoro ununuzi huu. Wataona bora hao makaburu waliokua wanatuma ndege private ndani ya mgodi na kusafirisha almasi kwenda South Africa kimya kimya.
Rostam ni mpiga michongo wa Wayemen.

Hakuna tofauti sana.
 
Bora wafaidike wazawa kuliko makaburu wa south africa.

Ila watanzania tulivo na asili ya roho mbaya na upumbavu wa kiwango cha lami, lazima watu waanze kutoa kasoro ununuzi huu.
Haya makubaliano yanaweza kuwa na faida kubwa sana kwa Williamson diamonds kwa sababu Petra ilikuwa inapumulia mashine.
Lakini uko mbeleni sitashangaa Rostam Aziz akinunua asilimia zote za Petra na kuwa majority shareholder!
 
Upuuzi unaanzia hapa, Hii Mitaji Urithi tuliachiwa na wazee wetu na sisi inaobidi tuwaachie taifa la kesho hizi ni asilimia chache sana kwa Nchi kumiliki..., kutokana na value ya hizi minings ingekuwa the other way Wananchi 75 na hao jamaa 25; Ukizingatia haya madude hayaozi

kumbuka wewe umekaa nyumbani, jamaa wameleta mtaji, wanarun operation, wanatafuta wateja, wanabeba hasara nk... at the end ukiwa nyumbani unakula zako gawio la 25%
 
Back
Top Bottom