Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,111
- 18,327
Tanroad wanajua sisi wananchi hatujui kizuri wala kibaya, wanajua wananchi ni limbukeni chochote wanachojenga sisi tunashangilia.
Pia wanajua uelewa wetu mdogo unawasaidia kujipatia sifa za kijinga.
Mfano flyover ya TAZARA, tumesifia lakini ni kitu kidogo sana kwenye nchi nyingine.
Nirudi kwenye mada, ukiangalia michoro na ya ujenzi unaoendelea wa barabara ya Kimara, Kibaha, Mbezi mwisho ni majanga.
Tanroad kushindwa kufikiria suluhisho kwenye makutano ya Goba road vs Morogoro road ni ujinga wa hali ya juu sana.
Kuweka mataa pale ni uvivu wa kufikiri.
Nadhani haya ndio matatizo yaliyosababisha kufikia kuweka mataa na baada ya miaka 2 itabidi kubomoa miundo mbinu yote pale Mbezi maana kutakua na foleni ya kufaa mtu.
1. Inawezekana Tanroad haina watalaamu wenye uelewa mzuri wa miundombinu upande mqingine wa dunia wanafanyaje.
2. Inawezekana kuna uongozi wa kiimla ukitaka jambo hakuna mwingine kuingilia.
3. Kukosekana kwa fedha za kutosha kutokana na mradi kutopata maandalizi ya kutosha.
4. Kukosekana kwa consultant mwenye uelewa mzuri wa miundombinu mikubwa (highway)
5. Upigaji
6. Kutojali fedha za walipa kodi .
Hata tusiokuwa na elimu ya uhandisi tunaweza toa solution.
Mfano pale zinapo kutana barabara Goba, Kinyerezi na Morogoro road
Morogoro road ingeshushwa chini (underpass road). Naamananisha ichimbwe chini zaidi goba kinyerezi ipite juu yake bila kuiinua (overpass road).
Round about zibaki kama zilivyo sasa ila hakuna mataa wala traffic officer.
Ingine hine hio