CHADEMA kwenye tangazo hili wanamaanisha nini?

CHADEMA kwenye tangazo hili wanamaanisha nini?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,423
Reaction score
289,633
Mwenye kuelewa atusimulie na sisi tuwe sehemu ya mpango huu , maana hiki Chama kila mara kinakuja na mambo mazuri ya kushangaza lakini ya kuigwa pia.

Zipo taarifa kwamba CHADEMA ndio wanaotoa dira ya Taifa, sasa ili tusiachwe nyuma ni vema tukaeleweshwa kinachoendelea.

Join_The_Chain%0A%23ShilingiMojaTaifaMoja.jpg
Join_The_Chain%0A%23ShilingiMojaTaifaMoja(1).jpg
 
Ni jukumu la mtoa ujumbe kuhakikisha ujumbe unaeleweka
 
Mwenye kuelewa atusimulie na sisi tuwe sehemu ya mpango huu , maana hiki Chama kila mara kinakuja na mambo mazuri ya kushangaza lakini ya kuigwa pia .

Zipo taarifa kwamba CHADEMA ndio wanaotoa dira ya Taifa , sasa ili tusiachwe nyuma ni vema tukaeleweshwa kinachoendelea .

View attachment 2126407View attachment 2126411
Ni kuchangia pesa za kesi ya mwenyekiti hujaelewa nini hapo?😄😄😄😆😆
 
Back
Top Bottom