Mapokezi ya Dkt. Tulia mkoani Mbeya yaweka rekodi

Mapokezi ya Dkt. Tulia mkoani Mbeya yaweka rekodi

Niliposoma ujumbe huu nilichukua muda kujiuliza, jee kuna ukweli kiasi gani hapa?
Jibu nililopata ni kuwa yuko [emoji817]% right.
Screenshot_20220224-103530_Twitter.jpg
 
Mapokezi ya Spika wa bunge la Tanzania ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Dk Tulia yameacha historia kwenye jiji la Mbeya leo.
Wananchi kuanzia mkoa wa Iringa wamejipanga barabarani kumpokea mtoto wao
Nchi ya watu wenye akili wanafanya majaribio ya silaha zao Baltic sea; Ukraine ikiwa fire testing ground, Sisi ati tunajipanga barabarani kusubiri mtu asiyejua kushoto wala kulia Dunia hii. Shithole ......! Nchiyetu ina bahati mbaya sana.
 
Mapokezi ya Spika wa bunge la Tanzania ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Dk Tulia yameacha historia kwenye jiji la Mbeya leo.
Wananchi kuanzia mkoa wa Iringa wamejipanga barabarani kumpokea mtoto wao
Kafanyaje mpaka aweke rekodi??
 
Niliposoma ujumbe huu nilichukua muda kujiuliza, jee kuna ukweli kiasi gani hapa?
Jibu nililopata ni kuwa yuko [emoji817]% right.
View attachment 2131829
Muhimu kwa wabongo we wahakikishie tu kuona live mechi za Yanga na Simba basi hayo mengine hayawahusu.
Hata uongeze tozo, pandisha bei za vitu, chafua uchaguzi muhimu wape fursa ya kushabikia Yanga na Simba tu basi ushawatawala
 
Mapokezi ya Spika wa bunge la Tanzania ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Dk Tulia yameacha historia kwenye jiji la Mbeya leo.
Wananchi kuanzia mkoa wa Iringa wamejipanga barabarani kumpokea mtoto wao



Naona sasa kuwa mtumishi wa UMMA ni nafasi ya anasa na sio utumishi tena!
Katiba ijayo iweke kipengele ukichaguliwa ama ukiteuliwa kisha ukafanya sherehe au kusheherekea iwe nikigezo cha kufuta uteuzi/kuchaguliwa kwako kwa maana pana kwamba huna nia sawia ya utumishi zaidi ya maslahi binafsi Saudi na inaleta hisia ya kutokuwa na usawa katika utendaji wako! Ukiteuliwa/kuchaguliwa apa, ingia kazini onyesha uwajibikaji wako! Haya mambo yakusheherekea yanatoka wapi tena!?
Ni mtazamo tu!
 
Ni mapokezi ya shujaa aliyemnyoosha Sugu

Kushinda ubunge siku hizi Ni ushujaa. Halafu uchaguzi umeisha zamani , ndio leo wampokee kushangilia ushindi?. Sugu alikuwa hapambani na Tulia Bali na yule jamaa chalamila. Maana chalamila asubuhi tu hata watu hawajapiga kura akasema atamlipua Sugu na bomu, mkuu wa mkoa anaongea hivyo unategemea Nini.
All in 2020 hapakuwa na uchaguzi.
 
Back
Top Bottom