Shaka Hamdu Shaka kufanya mkutano na waandishi wa habari Machi 12, 2022

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
327
414
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka Leo Jumamosi Machi 12, 2022 ataongea na Waandishi wa Habari kuanzia Saa 4 asubuhi kwenye Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM (OND) Lumumba Jijini Dar es Salaam.

#CCMImara
#KaziIendelee

8108a7e2bca04c8ea573034e5c6d96c7.jpg
 
Nasubiri ataongelea Nini?.Aundio maandalizi ya kutimiza mwaka mmoja wa SSH.
 
Back
Top Bottom